Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Swala hilo linaweza ku-make sense iwapo utasema mungu hayupo au umtoe zile sifa zake ambazo ukimtoa anakua kama bushman tu


Kwasababu katika ulimwengu ambao mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote yupo basi hatutegemei kuona wizi ukiwepo

Ukisema wizi upo na mungu huyu yupo hapo inakua ngumu kueleweka, ila ukikitoa kimoja wapo kati ya hivyo viwili (mungu na wizi) basi hoja yako itakua thabiti kabisa

Sasa tunaona wizi upo

It's Scars
Biblia iko wazi wafanyao hayo ni pando la ibilisi, na adhabu yao ipo. Kwahiyo kuwepo kwa mwizi, hakupotezi uwepo wa Mungu.
 
Aibu imekukuta sasa naona unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa

Post yako namba 13 ndiyo inayo kuhukumu, na nilijua itakua hivi kwasababu majibu ya kugushi ni rahisi kuyasahau.



It's Scars
Nacheka sana, kushindwa hoja kuzuri sana, yaani hata kuelezea jambo unashindwa.

Post namba 13 inaelezea upande wa Allah, post ile ya 120 inaelezea hasa upande wetu.

Haya mambo yanahitaji elimu na utulivu wa hali ya juu. Ndio maana nilipo rudi jana au juzi nikawa najiuliza hii mada mbona ishaisha inakuwaje inakimbia mpaka leo hii, nilipoingia naona unadai hujajibiwa.

Nakupa miala kumi uonyeshe hukumu ninayo jihukumu katika post namba 13 dhidi ya zile nyingine. Ukiweza kuonyesha hilo naacha kutumia hii "Id" nilikwambia hili na nakariri tena na tena.

Ahsante.
 
Kwa kiingereza ni "Effect".
Swali halijauliza neno "athari" kwa kingereza linaitwaje

Umeona vyenyewe sikosei kukuita mjinga?

Ona ulivyo kuwa mjinga, umeonyesha ya kuwa hujui maana ya athari kisha una hoji tena kuhusu hiyo athari, lazima ukosee aisee, inabidi tuanze kufundishana namna ya kuhoji, halafu ndio nyinyi huwa mnajifaragua na Elimu ya Logic mara Philosophy. Ulitakiwa uambiwe kwanza nini maana ya "Athari" kisha ndio uhoji.
Ukiulizwa swali maana yake muulizaje hajui jibu la hilo swali??

Kwa mara nyingine nakuita mjinga

Nakupa mfano sasa, kuwepo kwako ni athari ya wazazi wako kujamiiana. Haya hoji sasa kulingana na hiyo maana. Kijana ulitakiwa urudi kwanza ukasome na ukubali kujifunza, ila ukienda kwa mtindo huu, aisee utaonekana kituko sana mbele ya watu wajuzi wa kujenga na hoja na kuzidadavua.

Umeulizwa kuhusu maana ya athari hujaambiwa utoe mfano kuhusu athari. Ulitakiwa utoe mfano baada ya kutoa maana ili kukazia hoja yako

Round hii nakuita mpumbavu


Hii ni athari mbaya ya namna fulani ya kufikiri mambo, huwa mnahisi ktindo huu wa kuhoji na kufikiri mambo, ndio unaweza kuwapa majibu sahihi juu ya mwanadamu na yale yote yanayo mzunguka.
Ungekua unajua kufikiri kwa weledi kama ambavyo unavyobwata hapa, ungekua tayari umetuthibitishia mungu yupo na ubishi huu usingekuwepo.

Ubishi huu unaweza kufanywa na watu wasioweza kufikiri pekee ila kwa wanaoweza ni kinyume chake

Nakukumbusha tu ya kuwa akili pekee haina uwezo wa kumfanya mja kujua jema au baya kwa dhati yake na kwanini, bali haiwezi kumuongoza juu ya hatima yake, kwanini naandika haya ? Umeagalia jambo la kujitoa muhanga kwa juu juu sana, na si kwa hukumu yake, hivi ndio mnavyofundishwa na wakubwa zenu,rejea zile "Ten Categories" (Maaqulaat Ashar) za Aristotld hivi ndivyo wana wafundisha.
We umetumia nini kujua kua akili haiwezi kujua jema wala baya? Na kipi ni mbadala wake?

thibitisha hayo madai yako?


Swali ni Mola gani huyo amewaruhusu watu wajitoe muhanga au mtume gani au nabii gani au mja gani mwema aliye waambia watu wajitoe muhanga ? Huwa nasema kila siku akili salama, kamwe haiwezi kukanusha juu ya Uwepo wa Allah. Ukifikiria mambo basi fikiria kweli kweli.
Huyo huyo wakufikirika ambaye unamuabudu wewe

Maana ha maneno, ni jambo muhimu sana katika kuifikia maana halisi ya jambo fulani. Elimu hii najua huna..

Naendelea kumaliza hili, kisha urudi tena useme hakijaisha.

Uhalisia ameuweka yeye na kufanya uwepo, halafu unakuja kuhoji juu ya uhalisia ?
Angekua ameuweka na ni jambo ambalo linathibitishika basi kusingekua na mjadala huu mpaka sasa

Thibitisha

Uwepo wa Allah aliye juu, unaonekana kupitia milango ya fahamu, kupitia akili na ufunuo. Niliwahi kukuuliza swali moja au mawili hukuwahi kujibu swali hilo wala usipate shida bali hata wakubwa zako katka huu ujinga hawakuwahi kujibu maswali haya : "Je mmetokana pasi na chochote au mmejiumba wenyewe" ? Majibu ya maswali haya huthibitisha uwepo wa Allah aliye juu.

Hayo maswali yanathibitisha allah hayupo hayathibitishi allah yupo, otherwise uivuruge hiyo kanuni

Na ukiivuruga hiyo kanuni ujue jibu utalopata kupitia kanuni hiyo ni la kugushi

Kama chochote kilichopo kitahitaji creator basi allah naye hapaswi kuwepo na akiwepo awe kama mdogo wa mungu au mtoto wa mungu. Hapaswi kusimama yeye kama yeye bila kua na creator kwasababu sheria inasema kila kilichopo kina creator, hivyo basi hata baba yake allah naye inatakiwa awe na baba yake hivyo hivyo mpaka kieleweke

Kama haiwezekani kuwepo kwa creator ili kitu kiwepo, basi hata ulimwengu tunaweza ku-define kua hauna chanzo na ikaleta mantiki

Wewe ulivyomjinga utasema allah kaweza kuwepo bila chanzo katika mazingira ambayo hakuna kitu kinaweza ku exist bila chanzo. Wakati kwa kanuni hiyo unaweza kuuelezea ulimwengu pia na ikaleta maana nzuri tu

Swali ambalo halijibiki kwenu ni hili

"Kila kilichopo ni lazima kiwe ma chanzo?"

It's Scars
 
9. Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha kwenye nchi iliyo kufa (mvua ikanyesha), tukaifufua ardhi( kwa mvua hiyo) baada ya kufa kwake. Ndivyo kama hivyo kutakavyo kuwa kufufuliwa (siku ya mwisho, Na Je ni nani anayeweza kuyafanya hayo asie kuwa Mungu?).

11. Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii. Kisha akakufanyeni mwanamume na mwanamke. Na mwanamke yeyote hachukui mimba, wala hazai, ila kwa ilimu yake. Na wala hapewi umri mwenye umri mrefu, wala hapunguziwi katika umri wake, ila yamo hayo katika Kitabu (cha Mungu). Hakika hayo ni mepesi kwa Mwenyezi Mungu. (je ni nani mwengine ayafanyaye hayo asiekuwa Mungu ikiwa unamjuwa)?

34:38. Na wanao jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda, hao watahudhurishwa kwenye adhabu ( hapa duniani kabla ya kufa na siku ya kiama).
Hebu kiri ukweli huu kama kuna yeyote anaye yamiliki haya

huu ndio ushahidi wangu, nipe wa kwako basi
Upepo kusukuma mawingu na kuleta Mvua wana sayansi wameliprove hilo kuwa lipo na hakuna anayeweza kulidhibiti.
Mazao huota baada Mvua kunyesha ,hili halihitaji elimu kubwa,wengi wetu tunajuwa na kuona kila siku.Hii ni kazi ya Mungu
Umbile la mwanadamu limepitia stage tatu, Udongo,Manii na Kisha kiumbe kamili Zygot nk science ina kubali hilo, na Mungu hulisimamia umbile la kiumbe hadi kuzaliwa.

Sasa niambie wewe unakanusha nini katika maneno haya ambayo ki msingi ni 'scientific facts' na ni Qur-an tukufu?
 
Sio kama nini, hali halisi ndio ukweli wenyewe.

Mathalani, kila nafsi itaonja umauti, hii ni haki halisi. Kuwepo kwa usiku na mchana, Jua lina tembea, akili ina ukomo, na mengine mengi.

Mbona swala la watu kufa linaelezeka kihalisia bila dini wala dhana ya mungu kuhusishwa?

Unajuaje kwamba waandishi wa dini hawakutumia spirit hiyo ili uongo wao kuhusu dhana ya uwepo wa mungu ifanikiwe?

Kama kifo kipo halisia na kinathibitishika kua kipo, kwanini mungu ambaye mnadai yupo kihalisia asithibitishike kua yupo?



It's Scars
 
Haya ni maradhi ya kutengeneza,kuna mambo ambayo yapo nje na uwezo wa binadamu na hapo ndio MUNGU huonyesha uwezo wake.Mfano mvua nyingi,matetemeko nk.Lkn pia MUNGU ametupa akili ya kupambana na maradhi,huwezi kuumwa cholera ukamuomba MUNGU badala ya kupambana na vinavyosababisha.Hata hivyo kama huamini uwepo wa MUNGU ni kazi bure tu,huwezi amini hadi mauti yakukute.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka muda huu mungu kaonesha uwezo gani huko italy na china?

Au unamaanisha uwezo wa kuzembea?

It's Scars
 
Kaa bila kulala kwa siku tatu.,
Kaa bila kuwenda Haja ndogo kwa siku mbili
Acha kula kwa wiki moja uone ,
Huwo ni mfumo alioumba Allah ,Badilisha uweke mfumo wako basi kama wewe ni mjuvi

Nikikaa bila kula siku tatu, kutathibitisha njaa ipo na sio mungu yupo

Chochote nitakachokifanya hapo hakithibitishi mungu yupo, zaidi kitathibitisha mungu hayupo.

Kwasababu mungu mjuzi wa yote, upendo wote na mwenye uwezo wote angekuwepo kusingekua na njaa wala kwenda haja ndogo

Haja ndogo tu ni imperfection katika mwili wa binadamu, uwepo wa imperfection inaonesha hatujaumbwa na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote

It's Scars
 
Nikikaa bila kula siku tatu, kutathibitisha njaa ipo na sio mungu yupo

Chochote nitakachokifanya hapo hakithibitishi mungu yupo, zaidi kitathibitisha mungu hayupo.

Kwasababu mungu mjuzi wa yote, upendo wote na mwenye uwezo wote angekuwepo kusingekua na njaa wala kwenda haja ndogo

Haja ndogo tu ni imperfection katika mwili wa binadamu, uwepo wa imperfection inaonesha hatujaumbwa na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote

It's Scars
Bara bara
Kumbe unajuwa kuwa Udhaifu ni wa Kiumbe , na Ukamilifu ni MUumba sio?
 
Hivyo ndivyo Mungu alivyo to design tuwe tuna kwenda haja,tuna lala,tunaishi na tuna kufa,
Huo ni mpango wake yeye,
Sasa Yuko yeyote anayeweza kuubadili mpango huo asiye kuwa yeye?
Inaonesha Unamini kuwa yeye Aweza.
Na mimi nakiri aweza
Lakini nakujuza
Mpango huo wa ukamilifu si hapa duniani.
Ni huko peponi
Hakuna Kufa.
Hakuna Kulala
hakuna kwenda haja.
Ni rahaa mfululizo bila ya shida.
Ama hapa duniani ni mchanganyiko.
Binaamu kaumbwa ili apambane na mazingira.
Utumie akili.
Ndo maana
Hata Mtume Muhammad Alipigana Vita ili kisimamisha dola la kiislamu.
Mungu angelitaka angefanya, lakini si mpangowake katika hii dunia.
 
Vipi kuhusu mauti ,Unaweza kupanga uishi bila ya kufa?
Katika ulimwengu ambao mungu yupo, jambo hilo linawezekana


Basi hata Hoja ndogo ya ukichoka una sinzia pasi na Amri yako,
Unajuwa nana kakupa usingizi?
Kupata usingizi hakuthibitishi kitu kua mungu yupo wala hakuna muunganiko wowote katika hilo

Kama usingizi unaletwa na mungu, basi katika siku ambazo sijalala kwa kukosa usingizi kutathibitisha mungu hayupo

Ebu tamka humu kundini kama wewe ni mkweli, Mungu Akukoseshe usingizi kwa wiki moja kisha
sisi tuitikie amina
Uone Jeuri yako
Nyie kweli mnatania, yani mmeshindwa kabisa kuthibitisha mungu yupo kihalisia mpaka mmeamua kutumia usingizi kama ndio uthibitisho?

Yani kama umeshindwa kuthibitisha mungu yupo, unafikiri habari za kupewa usingizi zitaleta impact yeyote?

It's Scars
 
Post 641. Nimekuuliza hivi:

Umesema kuwa Mungu "Alishajua utakavyokuwa na utakachokichagua" je kajua kwavile kamuumba makusudi ili binadamu awe vile? Au kuna kipengele cha makubaliano baina ya binadamu na Mungu wakati wa kuumbwa, binadamu mwenyewe achague aumbwe mtu wa aina gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Elewa basi
Mungu ana hali mbili kwa viumbe.
Akitaka anawafanyia mambo kimiujiza kwa Dua tuu ,jambo ambalo ni nadra sana.
Na hali ya pili Ni kuunga mkono juhudi zao kwa kuwapa maarifa chanya kutafuta suluhisho ,baada ya kujihangaisha na kutumia akili.
Njia hii ya Pili ndio hasa halisi kwa maisha ya Duniani.
Wanaotarajia mafanikio kwa maombi tuu ,hawaja mfahamu Mungu mpango wake.
 
Mimi najuwa kuwa wewe ni kilema,
Kataa!
Jibadili basi uwe mtu kamili.
Hizo ni hallucinations zako na nikawaida kwa watunwa dini

Kama mmezoea kunena kwa lugha unafikiri kuna ugumu wowote wa wewe kuto lopoka?

It's Scars
 
Back
Top Bottom