Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Biblia iko wazi wafanyao hayo ni pando la ibilisi, na adhabu yao ipo. Kwahiyo kuwepo kwa mwizi, hakupotezi uwepo wa Mungu.Swala hilo linaweza ku-make sense iwapo utasema mungu hayupo au umtoe zile sifa zake ambazo ukimtoa anakua kama bushman tu
Kwasababu katika ulimwengu ambao mungu mwenye ujuzi wote, upendo wote na uwezo wote yupo basi hatutegemei kuona wizi ukiwepo
Ukisema wizi upo na mungu huyu yupo hapo inakua ngumu kueleweka, ila ukikitoa kimoja wapo kati ya hivyo viwili (mungu na wizi) basi hoja yako itakua thabiti kabisa
Sasa tunaona wizi upo
It's Scars
Nacheka sana, kushindwa hoja kuzuri sana, yaani hata kuelezea jambo unashindwa.Aibu imekukuta sasa naona unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa
Post yako namba 13 ndiyo inayo kuhukumu, na nilijua itakua hivi kwasababu majibu ya kugushi ni rahisi kuyasahau.
It's Scars
Swali halijauliza neno "athari" kwa kingereza linaitwajeKwa kiingereza ni "Effect".
Ukiulizwa swali maana yake muulizaje hajui jibu la hilo swali??Ona ulivyo kuwa mjinga, umeonyesha ya kuwa hujui maana ya athari kisha una hoji tena kuhusu hiyo athari, lazima ukosee aisee, inabidi tuanze kufundishana namna ya kuhoji, halafu ndio nyinyi huwa mnajifaragua na Elimu ya Logic mara Philosophy. Ulitakiwa uambiwe kwanza nini maana ya "Athari" kisha ndio uhoji.
Nakupa mfano sasa, kuwepo kwako ni athari ya wazazi wako kujamiiana. Haya hoji sasa kulingana na hiyo maana. Kijana ulitakiwa urudi kwanza ukasome na ukubali kujifunza, ila ukienda kwa mtindo huu, aisee utaonekana kituko sana mbele ya watu wajuzi wa kujenga na hoja na kuzidadavua.
Ungekua unajua kufikiri kwa weledi kama ambavyo unavyobwata hapa, ungekua tayari umetuthibitishia mungu yupo na ubishi huu usingekuwepo.Hii ni athari mbaya ya namna fulani ya kufikiri mambo, huwa mnahisi ktindo huu wa kuhoji na kufikiri mambo, ndio unaweza kuwapa majibu sahihi juu ya mwanadamu na yale yote yanayo mzunguka.
We umetumia nini kujua kua akili haiwezi kujua jema wala baya? Na kipi ni mbadala wake?Nakukumbusha tu ya kuwa akili pekee haina uwezo wa kumfanya mja kujua jema au baya kwa dhati yake na kwanini, bali haiwezi kumuongoza juu ya hatima yake, kwanini naandika haya ? Umeagalia jambo la kujitoa muhanga kwa juu juu sana, na si kwa hukumu yake, hivi ndio mnavyofundishwa na wakubwa zenu,rejea zile "Ten Categories" (Maaqulaat Ashar) za Aristotld hivi ndivyo wana wafundisha.
Huyo huyo wakufikirika ambaye unamuabudu weweSwali ni Mola gani huyo amewaruhusu watu wajitoe muhanga au mtume gani au nabii gani au mja gani mwema aliye waambia watu wajitoe muhanga ? Huwa nasema kila siku akili salama, kamwe haiwezi kukanusha juu ya Uwepo wa Allah. Ukifikiria mambo basi fikiria kweli kweli.
Angekua ameuweka na ni jambo ambalo linathibitishika basi kusingekua na mjadala huu mpaka sasaMaana ha maneno, ni jambo muhimu sana katika kuifikia maana halisi ya jambo fulani. Elimu hii najua huna..
Naendelea kumaliza hili, kisha urudi tena useme hakijaisha.
Uhalisia ameuweka yeye na kufanya uwepo, halafu unakuja kuhoji juu ya uhalisia ?
Uwepo wa Allah aliye juu, unaonekana kupitia milango ya fahamu, kupitia akili na ufunuo. Niliwahi kukuuliza swali moja au mawili hukuwahi kujibu swali hilo wala usipate shida bali hata wakubwa zako katka huu ujinga hawakuwahi kujibu maswali haya : "Je mmetokana pasi na chochote au mmejiumba wenyewe" ? Majibu ya maswali haya huthibitisha uwepo wa Allah aliye juu.
Upepo kusukuma mawingu na kuleta Mvua wana sayansi wameliprove hilo kuwa lipo na hakuna anayeweza kulidhibiti.9. Na Mwenyezi Mungu ndiye anaye zituma Pepo ziyatimue mawingu, nasi tukayafikisha kwenye nchi iliyo kufa (mvua ikanyesha), tukaifufua ardhi( kwa mvua hiyo) baada ya kufa kwake. Ndivyo kama hivyo kutakavyo kuwa kufufuliwa (siku ya mwisho, Na Je ni nani anayeweza kuyafanya hayo asie kuwa Mungu?).
11. Na Mwenyezi Mungu amekuumbeni kutokana na udongo. Kisha kwa tone la manii. Kisha akakufanyeni mwanamume na mwanamke. Na mwanamke yeyote hachukui mimba, wala hazai, ila kwa ilimu yake. Na wala hapewi umri mwenye umri mrefu, wala hapunguziwi katika umri wake, ila yamo hayo katika Kitabu (cha Mungu). Hakika hayo ni mepesi kwa Mwenyezi Mungu. (je ni nani mwengine ayafanyaye hayo asiekuwa Mungu ikiwa unamjuwa)?
34:38. Na wanao jitahidi kuzipinga Ishara zetu, wakaona watashinda, hao watahudhurishwa kwenye adhabu ( hapa duniani kabla ya kufa na siku ya kiama).
Hebu kiri ukweli huu kama kuna yeyote anaye yamiliki haya
huu ndio ushahidi wangu, nipe wa kwako basi
Sio kama nini, hali halisi ndio ukweli wenyewe.
Mathalani, kila nafsi itaonja umauti, hii ni haki halisi. Kuwepo kwa usiku na mchana, Jua lina tembea, akili ina ukomo, na mengine mengi.
Mpaka muda huu mungu kaonesha uwezo gani huko italy na china?Haya ni maradhi ya kutengeneza,kuna mambo ambayo yapo nje na uwezo wa binadamu na hapo ndio MUNGU huonyesha uwezo wake.Mfano mvua nyingi,matetemeko nk.Lkn pia MUNGU ametupa akili ya kupambana na maradhi,huwezi kuumwa cholera ukamuomba MUNGU badala ya kupambana na vinavyosababisha.Hata hivyo kama huamini uwepo wa MUNGU ni kazi bure tu,huwezi amini hadi mauti yakukute.
Sent using Jamii Forums mobile app
Theory hii ni ya nani?"Kila kilichopo ni lazima kiwe ma chanzo?"
rejea bango langu 748
Wewe pia umeshindwa kujibu hoja zanguAcheni kushindana na huyu mwehu,
Kashindwa kujibu hoja zangu ,kani kwepa
zipi?
Kaa bila kulala kwa siku tatu.,
Kaa bila kuwenda Haja ndogo kwa siku mbili
Acha kula kwa wiki moja uone ,
Huwo ni mfumo alioumba Allah ,Badilisha uweke mfumo wako basi kama wewe ni mjuvi
Bara baraNikikaa bila kula siku tatu, kutathibitisha njaa ipo na sio mungu yupo
Chochote nitakachokifanya hapo hakithibitishi mungu yupo, zaidi kitathibitisha mungu hayupo.
Kwasababu mungu mjuzi wa yote, upendo wote na mwenye uwezo wote angekuwepo kusingekua na njaa wala kwenda haja ndogo
Haja ndogo tu ni imperfection katika mwili wa binadamu, uwepo wa imperfection inaonesha hatujaumbwa na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na mwenye upendo wote
It's Scars
Katika ulimwengu ambao mungu yupo, jambo hilo linawezekanaVipi kuhusu mauti ,Unaweza kupanga uishi bila ya kufa?
Kupata usingizi hakuthibitishi kitu kua mungu yupo wala hakuna muunganiko wowote katika hiloBasi hata Hoja ndogo ya ukichoka una sinzia pasi na Amri yako,
Unajuwa nana kakupa usingizi?
Nyie kweli mnatania, yani mmeshindwa kabisa kuthibitisha mungu yupo kihalisia mpaka mmeamua kutumia usingizi kama ndio uthibitisho?Ebu tamka humu kundini kama wewe ni mkweli, Mungu Akukoseshe usingizi kwa wiki moja kisha
sisi tuitikie amina
Uone Jeuri yako
Post 641. Nimekuuliza hivi:zipi?