Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

Nafikiri huu ndio wakati sasa wa kuomba miujiza ishuke tuondokane na hili balaa la hili gonjwa baya linalotisha dunia!Hatusikii tena zile keki za upako wala mafuta!Au hizo keki mmeamua kula wenyewe na mafuta kukanyaga wenyewe??

Nafikiri kama hizo keki zina upako kweli huu ndio muda tunazihitaji kuliko muda mwingine!"Huu ndio wakati ufaao kuliko wakati mwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri huu ndio wakati sasa wa kuomba miujiza ishuke tuondokane na hili balaa la hili gonjwa baya linalotisha dunia!Hatusikii tena zile keki za upako wala mafuta!Au hizo keki mmeamua kula wenyewe na mafuta kukanyaga wenyewe??Nafikiri kama hizo keki zina upako kweli huu ndio muda tunazihitaji kuliko muda mwingine!"Huu ndio wakati ufaao kuliko wakati mwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi dini zinazoanzishwa kama taasisi za kifamilia zina madudu ya ajabu ajabu sana
 
tumefunga huduma za uponyaji mpaka hapo corona itakapotulia msiwaze sana wapendwa katika bwana
 
Attachments

  • 90454845_198321551584170_6681220266317578240_n.jpg
    90454845_198321551584170_6681220266317578240_n.jpg
    27.3 KB · Views: 1
Huu Ugonjwa Ndugu Zangu Ni Mbaya Sana Kuliko Ukimwi 🙄🤔😐😐

Tumetishana Sana Ndugu Zangu ,😅😄😃
Mpaka Sasa Hivi Tanzania Hatuna Vifo Vinavyotokana Na Corona Virus Diseases 19
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Kuna uzi mmoja upo humu unasema "corona imekuja kuthibitisha uongo wa dini".

Kweli kama watu wanajinasibu kufufua wafu, kuponya magonjwa na ulemavu vipi washindwe na mafua?
 
Nafikiri huu ndio wakati sasa wa kuomba miujiza ishuke tuondokane na hili balaa la hili gonjwa baya linalotisha dunia!Hatusikii tena zile keki za upako wala mafuta!Au hizo keki mmeamua kula wenyewe na mafuta kukanyaga wenyewe??

Nafikiri kama hizo keki zina upako kweli huu ndio muda tunazihitaji kuliko muda mwingine!"Huu ndio wakati ufaao kuliko wakati mwingine!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna habari ilikuwa inaenea TB Joshua kasema Covid-19 itatoweka March 27.

March 27 ishapita, kirusi ndiyo kwanza hata hakijaamka vizuri!

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Akili inakubaliana na maneno haya ya qur-an .Na ndo maana wasiokubali ukweli wa qur-an wametakiwa waoneshe kasoro ili kuthibitisha hoja zao kuwa ni kweli jambo ambalo hata wewe umeashindwa kufanya hivyo. Bali wewe umenihakishia kwa kusema kuwa huijui qur-an.
Ajabu ya wewe ni kuwa kitu hukijui, utasemaje ni cha uongo?
Hapo inaoneha wewe unatetea imani yako ya kutomumini Muumba.
Na kwa minajil hiyo ,Ujinga hakukuepuka.
Kwaiyo wewe unakubali kuran ni kitabu cha kweli kwasababu yenyewe imesema kua ni kitabu cha kweli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata comment yangu nayo haina shaka, unaweza kunionesha shaka?
Ndio,shaka yangu ni uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo.
Mimi ninashaka kuwa wewe umezaliwa nje ya ndoa, na kwa hiyo umekosa upendo wa wazazi wawili wakiwa pamoja nyumbani.
Je unaweza kulikanusha au kuthibitisha
hilo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kifupi kuhusu mada yako,
Ni Mungu ndie akipenda atawafunulia wataalamu ujuzu wa kupata dawa.
Na akipenda atayatokomeza maradhi haya duniani koto,lakini kama wanadamu tumepata somo.
Na pia Mungu akitaka anaweza akaangamiza nusu ya population ya dunia na kutubomolea kabisa mifumo yetu ya maisha tuliojije gea .
Ikiwa wewe baso hujaona uwepo wa Mungu, basi huna ufahamu kabisa
Bora,.........

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninaamini dini baada ya kuona Afrika ambayo iko nyuma katika tiba, inadunda tu.
 
Ndio,shaka yangu ni uwezo wako wa kupambanua mambo ni mdogo.
Mimi ninashaka kuwa wewe umezaliwa nje ya ndoa, na kwa hiyo umekosa upendo wa wazazi wawili wakiwa pamoja nyumbani.
Je unaweza kulikanusha au kuthibitisha
hilo.?

Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyosema "nina mashaka" maana yake wewe ndiyo mwenye shaka na sio comment yangu
 
Kwa kifupi kuhusu mada yako,
Ni Mungu ndie akipenda atawafunulia wataalamu ujuzu wa kupata dawa.
Na akipenda atayatokomeza maradhi haya duniani koto,lakini kama wanadamu tumepata somo.
Na pia Mungu akitaka anaweza akaangamiza nusu ya population ya dunia na kutubomolea kabisa mifumo yetu ya maisha tuliojije gea .
Ikiwa wewe baso hujaona uwepo wa Mungu, basi huna ufahamu kabisa
Bora,.........

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha mungu yupo acha kuhubiri
 
Back
Top Bottom