Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #1,521
Kwani kuna relation gani kati ya kusoma kitu nauwepo wa hicho kitu kihalisia?Sasa kama umemsoma humo kwenye hivyo vitabu, kipi kilicho kufanya ujue kwamba hayupo ?. Kijana hili swali ni swali jumla jamala, yaani halikwepeki mzee.
Jibu swali nililo kuuliza.
Nikikupa kitabu cha spiderman hapa ukisome utasema yupo kwasababu umemsoma?