Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa.
Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana na jinsi tunavyopambana na ugonjwa huu.
Wamekuwa wakiulizia mbinu zetu za mapambano:
Kwa vile mbinu zetu yaani:
1. Maombi na kufunga ijumaa, jmosi, jumapili yaani juzi, jana na leo,
2. Kupiga nyungu,
3. Matumizi ya malimao, tangawizi na michai chai,
4. Matumizi ya dawa zetu wenyewe bupeji, covidol, nimricaf ikiwamo pia ile pendwa dawa ya Madagascar,
5. Mazoezi,
6. Kutotoa takwimu za ugonjwa huu,
7. Kutokupima watu au marehemu,
8. Kuzuia hofu na taharuki,
9. Nk
Kwanini tusiwaeleweshe tu WHO wakaacha kutulalamikia kuwa tunazifanya mbinu za mafanikio yetu kuwa siri?
Ifike mahali ndugu zangu, tufungue milango ya taifa letu kwa mataifa mengine kujifunza kwetu na kwa rais wetu kipenzi Dkt. JPM.
www.jamiiforums.com
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika.
Ninawasilisha.

Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!