Corona: Mbinu zetu za mapambano, dunia ina cha kujifunza

Kama hata wanaotibiwa kwa nyungu wengine hufa na wengi hupona, unamaanisha:

Tiba mahospitalini = tiba za nyungu ?

Kama jibu ni ndiyo, bado haikufikirishi kwa nini tuwe na mahospitali basi ukizingatia gharama za majengo, madawa na hata wafanyakazi?

Au ni haya hapa tu?

View attachment 1707873

Ama kwa hakika mko vizuri.

Cha mno wewe na huyu johnthebaptist sitakuwa nimewatendea haki kutokuwatambua kuwa mko vizuri zaidi ndani kabisa ya maji!
Umeandika nini sasa😆😆😆
Yaani umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe kisha unawapongeza kwa kuwaambia watu wengine kuwa wako vizuri😂😂😂
johnthebaptist kuna mtu anajichanganya hadi anachanganyikiwa huku
 
inaonekana hata umesahau unajadili ugonjwa gani, madhara ya kukaa kisiasa wakati wote, unasahau akili kwenye mkoba.

corona inatibiwa kwa dawa gani??? hospitali gani?
 
Umeandika nini sasa😆😆😆
Yaani umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe kisha unawapongeza kwa kuwaambia watu wengine kuwa wako vizuri😂😂😂
johnthebaptist kuna mtu anajichanganya hadi anachanganyikiwa huku
Hahahaaaa...... Sera ya Chadema kwa sasa ni kufuatilia misiba mitaani.

Yaani Ufipa ni bure kabisa mama D
 
Waje wapige nyungu kwanza halafu ndio waulize maswali yao

Unamaana mwuliza maswali haya bwana Tedros Ghebreyesus raia wa Ethiopia, mkurugenzi WHO ajitose kwenye tanuri la nyungu la VETA?

Tupeane mrejesho jamani:

Hivi mzee baba na vingunge wengine kama waliopo nao wameshindwa choma ndani kwenye hilo tanuri au japo mfanowe?
 
upande wa MUNGU UNAELEKEA KUSHINDA.
nyie wa upande wa MZUNGU subirini Sawa.
 
Umeandika nini sasa😆😆😆
Yaani umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe kisha unawapongeza kwa kuwaambia watu wengine kuwa wako vizuri😂😂😂
johnthebaptist kuna mtu anajichanganya hadi anachanganyikiwa huku

Haha haaaaa. Maswali yapi nimejijibu mwenyewe? Hiki si kichekesho kingine bandugu?

Ama kwa hakika umechagua kujitekenya na kujichekesha vyote mumo kwa mumo. Kwa bandiko duni kama hili nikutabirie kuungwa mkono na wale wale wenzio:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Tayari mmoja kesha fika.

Ama kwa hakika mko vizuri.
 
Tupo Sana.
Hatuna Shaka na TIBA zetu .
ukimuona mpiga nyungu kafa na Corona njoo uniambie

Tuko vizuri sana.

Hivi kwa nini kweri, tunawanyima viongozi wetu nafasi ya kupiga nyungu hadi kuruhusu bendera zetu kupepea nusu milingoti?
 
Kwa nini unasema upande wa mzungu?
Kwa nini unafikia hatua ya kumlinganisha Mungu na Mzungu badala ya kumlinganisha Mzungu na Muafrika, Mchina, Mwarabu au Mhindi?
Kwamba Mzungu yeye ndiye amefikia kiwango cha juu hivyo?
upande wa MUNGU UNAELEKEA KUSHINDA.
nyie wa upande wa MZUNGU subirini Sawa.
 
Ugonjwa wa PROMOTION huo.
wanaofuata hyo kiongozi ya WHO ndo wataokufa.
Nioneshe kaburi la mpiga nyungu aliyekufa na Corona?
Angalia viongozi wa serikali waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?

Hivi bendera kupepea nusu milingoti huwa wamekufa viongozi wa nchi jirani tu?
 
ukiona kiongozi anaumwa Corona ujue amekataa kupiga nyungu.
angalia viogozi wote waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?
Tuko vizuri sana.

Hivi kwa nini kweri, tunawanyima viongozi wetu nafasi ya kupiga nyungu hadi kuruhusu bendera zetu kupepea nusu milingoti?
 
Anayewapangia jinsi ya kuishi ni Nani?
Kwanini mnaamini kuwa nyungu na tangawizi na malimao haviwezi kutusaidia?.
WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
Kwa nini unasema upande wa mzungu?
Kwa nini unafikia hatua ya kumlinganisha Mungu na Mzungu badala ya kumlinganisha Mzungu na Muafrika, Mchina, Mwarabu au Mhindi?
Kwamba Mzungu yeye ndiye amefikia kiwango cha juu hivyo?
 
Sisi tumeamua hii ndio sayansi yetu, aje yeye au atume timu yake apigishwe nyungu ya mchachai, mstafeli na wapewe nimcraf halafu wasubiri matokeo yake ndipo tuwape majibu yao.
Unamaana mwuliza maswali haya bwana Tedros Ghebreyesus raia wa Ethiopia, mkurugenzi WHO ajitose kwenye tanuri la nyungu la VETA?

Tupeane mrejesho jamani:

Hivi mzee baba na vingunge wengine kama waliopo nao wameshindwa choma ndani kwenye hilo tanuri au japo mfanowe?
 
ukiona kiongozi anaumwa Corona ujue amekataa kupiga nyungu.
angalia viogozi wote waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?

Kwani Tanzania kuna Corona? Viongozi wanaoumwa Corona unawaonea wapi kama si kutumiwa na mabeberu wewe?

Nakazia, tuko vizuri!
 
Kuna wengine wanapangiwa jinsi ya kuishi na waarabu, wanaambiwa wasile kitimoto na wanasalimiana kwa lugha ya kiarabu
Anayewapangia jinsi ya kuishi ni Nani?
Kwanini mnaamini kuwa nyungu na tangawizi na malimao haviwezi kutusaidia?.
WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
 
Bora hao Wana akili..
Kuliko wewe unayeambiwa kitambaa ni kinga na ukaamini.

Back
Top Bottom