Corona: Mbinu zetu za mapambano, dunia ina cha kujifunza

Nimedhani haitakuwa busara kuacha kukumbusha GoT inasema je kuhusu WHO:

View attachment 1709119

Umesikia hayo mambo?

Pole pole tutaelewana tu hata tukiwa makaburini au vipi jombi?
Tatizo ni kuwa vijana wa uvccm na mataga huwa wakiamka asubuhi wanasikilizia siku hiyo mkulu upepo unaelekea wapi nao wanaelekea huko. Soon nao watabadili upepo kuja na upepo wa kufuata taratibu za WHO
 
Hoja hapa ni nyungu na sio hospitalini.

Kama nyungu ingekua inatibu magonjwa kina kijazi, maalim na wengine wanaokufa kila siku wasingekufa.

Kwa nini mpango asihame hospitalini Dodoma akaenda nyumbani kupiga nyungu?
Kwani walitumia nyungu hao!!! Hatuna hatuna ushahidi
 
Sasa kama kujikinga na Corona ni suala la kinga za miili yetu.
Mimi kijana niiogope Corona Kwa kipi?

Tambua hakuna ugonjwa mmoja usiotegemea kinga ya mwili. Hata hilo nalo ulikuwa hujui jombi?

Eti wewe kijana 😂😂😂😂😂😂! Si ungesema wewe jinga tu? Ungeeleweka tu kuwa ni wewe mkuu!

Cha maana zaidi utakuwa umejua sasa pia kuwa WHO ni nani, kwa maana hilo lilikuwa swali lako kuu kwa herufi kubwa:

IMG_20210222_164217_064.jpg

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Tatizo ni kuwa vijana wa uvccm na mataga huwa wakiamka asubuhi wanasikilizia siku hiyo mkulu upepo unaelekea wapi nao wanaelekea huko. Soon nao watabadili upepo kuja na upepo wa kufuata taratibu za WHO
utaratibu wa WHO ni upi, huo ambao umefanikisha kuiondoa kabisa corona??
 
Waaamuzi wa afya zetu ni sisi wenyewe..
Kwa hyo tusipangiane jinsi ya kuishi
Tambua hakuna ugonjwa mmoja usiotegemea kinga ya mwili. Hata hilo nalo ulikuwa hujui jombi?

Eti wewe kijana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]! Si ungesema wewe jinga tu? Ungeeleweka tu kuwa ni wewe mkuu!

Cha maana zaidi utakuwa umejua sasa pia kuwa WHO ni nani, kwa maana hilo lilikuwa swali lako kuu kwa herufi kubwa:

View attachment 1709136

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
1614004843545.png

Mimi na wenzangu tukiwa tunajadiriana jinsi ya kuwashauri WHO
 
Waaamuzi wa afya zetu ni sisi wenyewe..
Kwa hyo tusipangiane jinsi ya kuishi

😂😂😂😂😂😂 Nani amekupangia wapi wewe jinsi ya kuishi?

Umeanza kuota ndoto ghafla?
 
Sio wagonjwa wote wanaotibiwa mahospitalini hufa na sio wote hupona pia
Huyo hajawai ona Mgonjwa kapelekwa India kwa matibabu,alafu kafa na bili yote inatakiwa ilipwe Kama kawaida! Wakati huohuo kuna wagonjwa Wengine wanarudi makwao huku wamepata unafuu kwenye Maradhi yao kutoka hukohuko India!!
 
IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Back
Top Bottom