Corona: Mbinu zetu za mapambano, dunia ina cha kujifunza

Corona: Mbinu zetu za mapambano, dunia ina cha kujifunza

Mkuu Aya ya kwanza tu kwenye mada:

"Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa."

Imetambua WHO ni nani katika afya za watu duniani.

Labda ungelengesha zaidi swali lako kukuhusu wewe na lile genge lenu zaidi kuhusu WHO?

Huoni kuwa unatujumuisha na wengine tusiokubaliana nawe kwenye hili swali lako uchwara?

WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
 
WHO NI wazi wameshafeli kwenye Corona.
Kuendelea kuwategemea ni kupoteza MUDA
Mkuu Aya ya kwanza tu kwenye mada:

"Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa."

Imetambua WHO ni nani katika afya za watu duniani.

Labda ungelengesha zaidi swali lako kukuhusu wewe na lile genge lenu zaidi kuhusu WHO?

Huoni kuwa unatujumuisha na wengine tusiokubaliana nawe kwenye hili swali lako uchwara?
 
Kinga ni bora kuliko Tiba, Piga nyungu, kula vizuri, fanya kazi, piga mazoezi na umwombe Mungu sana

Kwanini hayo yasiwe sehemu ya majibu yetu WHO? Huo ndiyo ulio msingi haswa wa mada hii.

Nakazia:

Kwanini hatutoi ushirikiano wakati majibu tena ya msingi sana, tunayo?
 
Ukiacha nyungu haya mengine yote yalikuwa yanafanyika hata kabla ya Corona.Halafu kula vizuri inakuhitaji uwe na kipato kizuri pia, msijiongeleshe tu.
Kinga ni bora kuliko Tiba, Piga nyungu, kula vizuri, fanya kazi, piga mazoezi na umwombe Mungu sana
 
Kabla hujapata huo mlo itakuwa vigumu kuelewa faida yake.Wewe fanya kwanza kama nilivyokuambia, hata jina unaweza kubadilisha ukajiita mwenyeakilimimi.
Hyo ndo faida yake?
 
siwezi Kula kitimoto wala kunywa bia wala kuvuta sigara.
Mwili wangu ni wa thamani sana
Kabla hujapata huo mlo itakuwa vigumu kuelewa faida yake.Wewe fanya kwanza kama nilivyokuambia, hata jina unaweza kubadilisha ukajiita mwenyeakilimimi.
 
Ugonjwa wa PROMOTION huo.
wanaofuata hyo kiongozi ya WHO ndo wataokufa.
Nioneshe kaburi la mpiga nyungu aliyekufa na Corona?
Angalia viongozi wa serikali waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?
nakulipia nauli uje nilipo. nikuonteshe makaburi matatu ya watu ninao wafaham . walipiga nyugu na wakaondoka.
 
Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa.

Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana na jinsi tunavyopambana na ugonjwa huu.

Wamekuwa wakiulizia mbinu zetu za mapambano:

View attachment 1707831

Kwa vile mbinu zetu yaani:

1. Maombi na kufunga ijumaa, jmosi, jumapili yaani juzi, jana na leo,
2. Kupiga nyungu,
3. Matumizi ya malimao, tangawizi na michai chai,
4. Matumizi ya dawa zetu wenyewe bupeji, covidol, nimricaf ikiwamo pia ile pendwa dawa ya Madagascar,
5. Mazoezi,
6. Kutotoa takwimu za ugonjwa huu,
7. Kutokupima watu au marehemu,
8. Kuzuia hofu na taharuki,
9. Nk

Kwanini tusiwaeleweshe tu WHO wakaacha kutulalamikia kuwa tunazifanya mbinu za mafanikio yetu kuwa siri?

Ifike mahali ndugu zangu, tufungue milango ya taifa letu kwa mataifa mengine kujifunza kwetu na kwa rais wetu kipenzi Dkt. JPM.


Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika.

Ninawasilisha.
Naam waje wapige nyungu tu.
 
Huyu mtu yamtokayo yanaakisi jina lake, kichwa chake ni kama mfuko wa kubebea meno tu.
siwezi kuziweka hapa kulinda identity za marehem na familia zao. is why nimetoa offer.. nalipia gharama zote uje.. nikupelekr site live.
 
HAUJIELEWI.
picha za makaburi nazo unaona KAZI kupiga .
Haya piga ufiche majina ya marehemu.
siwezi kuziweka hapa kulinda identity za marehem na familia zao. is why nimetoa offer.. nalipia gharama zote uje.. nikupelekr site live.
 
Umemsikiliza Rais vizuri tahadhari aliyoitoa kuhusu huu ugonjwa akiwa kwenye zoezi la kuuaga mwili wa Balozi Kijazi?

Kasema watu wachukue tahadhari na kuwa makini lakini wamtangulize Mungu, hapo ni kusema hatambui kuwepo kwa huu ugonjwa?
Maneno peke yake hayatasaidia. Kuna vitu ambayo serikali inatakiwa kufanya mpaka sasa haijafanya. Mfano moja ni kuendeleza kuruhusu mikusanyiko isikuwa ya lazima.
 
Back
Top Bottom