Umeandika nini sasa😆😆😆Kama hata wanaotibiwa kwa nyungu wengine hufa na wengi hupona, unamaanisha:
Tiba mahospitalini = tiba za nyungu ?
Kama jibu ni ndiyo, bado haikufikirishi kwa nini tuwe na mahospitali basi ukizingatia gharama za majengo, madawa na hata wafanyakazi?
Au ni haya hapa tu?
View attachment 1707873
Ama kwa hakika mko vizuri.
Cha mno wewe na huyu johnthebaptist sitakuwa nimewatendea haki kutokuwatambua kuwa mko vizuri zaidi ndani kabisa ya maji!
inaonekana hata umesahau unajadili ugonjwa gani, madhara ya kukaa kisiasa wakati wote, unasahau akili kwenye mkoba.Kama hata wanaotibiwa kwa nyungu wengine hufa na wengi hupona, unamaanisha:
Tiba mahospitalini = tiba za nyungu ?
Kama jibu ni ndiyo, bado haikufikirishi kwa nini tuwe na mahospitali basi ukizingatia gharama za majengo, madawa na hata wafanyakazi?
Au ni haya hapa tu?
View attachment 1707873
Ama kwa hakika mko vizuri.
Cha mno wewe na huyu johnthebaptist sitakuwa nimewatendea haki kutokuwatambua kuwa mko vizuri zaidi ndani kabisa ya maji!
Hahahaaaa...... Sera ya Chadema kwa sasa ni kufuatilia misiba mitaani.Umeandika nini sasa😆😆😆
Yaani umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe kisha unawapongeza kwa kuwaambia watu wengine kuwa wako vizuri😂😂😂
johnthebaptist kuna mtu anajichanganya hadi anachanganyikiwa huku
Waje wapige nyungu kwanza halafu ndio waulize maswali yao
Waje wapige nyungu kwanza halafu ndio waulize maswali yao
Umeandika nini sasa😆😆😆
Yaani umejiuliza maswali na kujijibu mwenyewe kisha unawapongeza kwa kuwaambia watu wengine kuwa wako vizuri😂😂😂
johnthebaptist kuna mtu anajichanganya hadi anachanganyikiwa huku
upande wa MUNGU UNAELEKEA KUSHINDA.
nyie wa upande wa MZUNGU subirini Sawa.
Tupo Sana.
Hatuna Shaka na TIBA zetu .
ukimuona mpiga nyungu kafa na Corona njoo uniambie
upande wa MUNGU UNAELEKEA KUSHINDA.
nyie wa upande wa MZUNGU subirini Sawa.
Ugonjwa wa PROMOTION huo.
wanaofuata hyo kiongozi ya WHO ndo wataokufa.
Nioneshe kaburi la mpiga nyungu aliyekufa na Corona?
Angalia viongozi wa serikali waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?
Tuko vizuri sana.
Hivi kwa nini kweri, tunawanyima viongozi wetu nafasi ya kupiga nyungu hadi kuruhusu bendera zetu kupepea nusu milingoti?
Kwa nini unasema upande wa mzungu?
Kwa nini unafikia hatua ya kumlinganisha Mungu na Mzungu badala ya kumlinganisha Mzungu na Muafrika, Mchina, Mwarabu au Mhindi?
Kwamba Mzungu yeye ndiye amefikia kiwango cha juu hivyo?
Hivi bendera kupepea nusu milingoti huwa wamekufa viongozi wa nchi jirani tu?
Unamaana mwuliza maswali haya bwana Tedros Ghebreyesus raia wa Ethiopia, mkurugenzi WHO ajitose kwenye tanuri la nyungu la VETA?
Tupeane mrejesho jamani:
Hivi mzee baba na vingunge wengine kama waliopo nao wameshindwa choma ndani kwenye hilo tanuri au japo mfanowe?
ukiona kiongozi anaumwa Corona ujue amekataa kupiga nyungu.
angalia viogozi wote waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?
Anayewapangia jinsi ya kuishi ni Nani?
Kwanini mnaamini kuwa nyungu na tangawizi na malimao haviwezi kutusaidia?.
WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
Kuna wengine wanapangiwa jinsi ya kuishi na waarabu, wanaambiwa wasile kitimoto na wanasalimiana kwa lugha ya kiarabu
Bora hao Wana akili..
Kuliko wewe unayeambiwa kitambaa ni kinga na ukaamini.