mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Bora uniambie kitaamba ni kinga lakini usinizuie kula kitimoto na bia
Kitimoto na bia vina faida gani katika mwili?
WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
Mkuu Aya ya kwanza tu kwenye mada:
"Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa."
Imetambua WHO ni nani katika afya za watu duniani.
Labda ungelengesha zaidi swali lako kukuhusu wewe na lile genge lenu zaidi kuhusu WHO?
Huoni kuwa unatujumuisha na wengine tusiokubaliana nawe kwenye hili swali lako uchwara?
Kinga ni bora kuliko Tiba, Piga nyungu, kula vizuri, fanya kazi, piga mazoezi na umwombe Mungu sana
Bora hao Wana akili..
Kuliko wewe unayeambiwa kitambaa ni kinga na ukaamini.
Agiza kwanza mchana wa leo ndipo uje kuuliza hilo swali lako, utajisikia raha zaidi ya aliyepiga nyungu.
Kinga ni bora kuliko Tiba, Piga nyungu, kula vizuri, fanya kazi, piga mazoezi na umwombe Mungu sana
Hata Waarabu wa Mecca wamekubali ushauri wa mzungu na chanjo zake
Hyo ndo faida yake?
Kabla hujapata huo mlo itakuwa vigumu kuelewa faida yake.Wewe fanya kwanza kama nilivyokuambia, hata jina unaweza kubadilisha ukajiita mwenyeakilimimi.
tupe statistics ziazoonyesha wanaenda kushinda?upande wa MUNGU UNAELEKEA KUSHINDA.
nyie wa upande wa MZUNGU subirini Sawa.
nakulipia nauli uje nilipo. nikuonteshe makaburi matatu ya watu ninao wafaham . walipiga nyugu na wakaondoka.Ugonjwa wa PROMOTION huo.
wanaofuata hyo kiongozi ya WHO ndo wataokufa.
Nioneshe kaburi la mpiga nyungu aliyekufa na Corona?
Angalia viongozi wa serikali waliomfata magufuli yupi ameumwa na Corona?
tupe statistics ziazoonyesha wanaenda kushinda?
nakulipia nauli uje nilipo. nikuonteshe makaburi matatu ya watu ninao wafaham . walipiga nyugu na wakaondoka.
siwezi kuziweka hapa kulinda identity za marehem na familia zao. is why nimetoa offer.. nalipia gharama zote uje.. nikupelekr site live.Weka picha za makaburi yao
Naam waje wapige nyungu tu.Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa.
Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana na jinsi tunavyopambana na ugonjwa huu.
Wamekuwa wakiulizia mbinu zetu za mapambano:
View attachment 1707831
Kwa vile mbinu zetu yaani:
1. Maombi na kufunga ijumaa, jmosi, jumapili yaani juzi, jana na leo,
2. Kupiga nyungu,
3. Matumizi ya malimao, tangawizi na michai chai,
4. Matumizi ya dawa zetu wenyewe bupeji, covidol, nimricaf ikiwamo pia ile pendwa dawa ya Madagascar,
5. Mazoezi,
6. Kutotoa takwimu za ugonjwa huu,
7. Kutokupima watu au marehemu,
8. Kuzuia hofu na taharuki,
9. Nk
Kwanini tusiwaeleweshe tu WHO wakaacha kutulalamikia kuwa tunazifanya mbinu za mafanikio yetu kuwa siri?
Ifike mahali ndugu zangu, tufungue milango ya taifa letu kwa mataifa mengine kujifunza kwetu na kwa rais wetu kipenzi Dkt. JPM.
Maaskofu wa KKKT waitaka Kenya kuiga mbinu za Tanzania katika kuikabili Corona na kuitokomeza!
Maaskofu wa KKKT waliokutana jijini Arusha wamewaomba maaskofu kutoka Kenya kuishauri serikali yao iige mbinu za Tanzania ili iweze kudhibiti Corona na hatimaye kuitokomeza. Source ITV habari Maendeleo hayana vyama!www.jamiiforums.com
Mungu ibariki Tanzania. Mungu ibariki Afrika.
Ninawasilisha.
siwezi kuziweka hapa kulinda identity za marehem na familia zao. is why nimetoa offer.. nalipia gharama zote uje.. nikupelekr site live.
siwezi kuziweka hapa kulinda identity za marehem na familia zao. is why nimetoa offer.. nalipia gharama zote uje.. nikupelekr site live.
Maneno peke yake hayatasaidia. Kuna vitu ambayo serikali inatakiwa kufanya mpaka sasa haijafanya. Mfano moja ni kuendeleza kuruhusu mikusanyiko isikuwa ya lazima.Umemsikiliza Rais vizuri tahadhari aliyoitoa kuhusu huu ugonjwa akiwa kwenye zoezi la kuuaga mwili wa Balozi Kijazi?
Kasema watu wachukue tahadhari na kuwa makini lakini wamtangulize Mungu, hapo ni kusema hatambui kuwepo kwa huu ugonjwa?