Maneno peke yake hayatasaidia. Kuna vitu ambayo serikali inatakiwa kufanya mpaka sasa haijafanya. Mfano moja ni kuendeleza kuruhusu mikusanyiko isikuwa ya lazima.
kwamba nikificha majina ya marehemu ukaona kaburi tu.. then what? utajua walikufa kwa corona or not. i doesnt make difference.HAUJIELEWI.
picha za makaburi nazo unaona KAZI kupiga .
Haya piga ufiche majina ya marehemu.
Sasa hivi ukifa ni corona. Hata ufe kwa kuchomwa kisu kwenye moyo basi itasemekana hicho kisu kitakuwa kina virus wa corona ndo maana hupumui tena.
kwamba nikificha majina ya marehemu ukaona kaburi tu.. then what? utajua walikufa kwa corona or not. i doesnt make difference.
Ukija live ni rahis.. na ukaongea na wana familia wa marehemu.. na ndugu zake akina sisi.
Kina nani hao?Sasa hivi pana genge ukifa hata kwa Corona, watasema siyo Corona.
Ama kweli nyani haoni ku*dule.
Wapo radhi kusingizia lolote ikibidi wanaweza sema hata umechomwa kudu!
Hadithi za ilikuwa ugonjwa wa moyo, pneumonia, changamoto za kupumua, mafua makali, mafua ya kubana, nk mbona sasa tumezizoea mwisho?
Ajabu zaidi ni kuwa, wako tayari hata kutengeneza ajali hewa ali mradi waseme siyo Corona!
Ninakazia:
View attachment 1707989
Anayewapangia jinsi ya kuishi ni Nani?
Kwanini mnaamini kuwa nyungu na tangawizi na malimao haviwezi kutusaidia?.
WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
Kati ya wajanja janja hawa ni yupi kajitangazia kutibu corona?
mtume mwingira, mzee wa upako, mwakasege, gwajima, kakobe etc
Nimekupata Mkuu. Ila bila serikali kuwahimiza watu kufanya vitu fulani na kuwaachi huru kufafanya kama wanavyoona wenyewe ni kama vile hawatusaidii. Kama wanaipigia nyungu kampeni ya wazi kwa nini vitu vingine wasiviseme pia wazi wazi pia badala tu ya kusema watu wachukue tahadhari.Nipo pamoja na wewe na nnakuelewa sana unachokisema. Nilikua najibu hoja kwamba Rais hatambui uwepo wa hili janga.
Tukirudi kwenye hoja yako ya msingi, hili ni jambo pana linalohitaji umakini na uangalifu wa kina kabla ya kufanya maamuzi kwa vile linaathiri maisha ya kila mmoja wetu. Lakini pia ikumbukwe hakuna njia moja au namna ambayo imeonekana kuwa bora zaidi na ikafaa kwa nchi zote.
Naamini serikali kwa kupitia taratibu zake watakuja na maelezo zaidi kama ulivyopendekeza.
Lakini cha muhimu kwa sasa ni kila mmoja wetu kuchukua tahadhari na kuzingatia kanuni zinazoepusha au kupunguza maambukizi.
Sijasikia raia amewekwa ndani kwa kuvaa barakoa, kunawa mikono, kujiepusha na mikusanyiko isiyona ulazima au kutumia vitakasa mikono.
Nimekupata Mkuu. Ila bila serikali kuwahimiza watu kufanya vitu fulani na kuwaachi huru kufafanya kama wanavyoona wenyewe ni kama vile hawatusaidii. Kama wanaipigia nyungu kampeni ya wazi kwa nini vitu vingine wasiviseme pia wazi wazi pia badala tu ya kusema watu wachukue tahadhari.
haha ninalo. na numekupa offer uje.. na gharama zote nalipia mimi. hutoi hata 50. nalipia lila kitu nikupeleke site.Huna kaburi la mpiga nyungu aliyekufa na Corona.acha kujidanganya
haha ninalo. na numekupa offer uje.. na gharama zote nalipia mimi. hutoi hata 50. nalipia lila kitu nikupeleke site.
Kufa kupo ndugu,kawa tarehe ya kufa imefika hata angaperekwa ulaya angelifia huko, mbona mwalimu nyerere alikwenda huko ulaya akitembea na akarudi akiwa maiti?Ndio maana Magufuli kawaambia likija jambo lolote linalozidi mwanadamu uwezo wakwanza ni kumkimbilia Mungu mweza yote.Hoja hapa ni nyungu na sio hospitalini.
Kama nyungu ingekua inatibu magonjwa kina kijazi, maalim na wengine wanaokufa kila siku wasingekufa.
Kwa nini mpango asihame hospitalini Dodoma akaenda nyumbani kupiga nyungu?
Haya hua ni majibu ya watu wapumbavu tu.Kufa kupo ndugu,kawa tarehe ya kufa imefika hata angaperekwa ulaya angelifia huko, mbona mwalimu nyerere alikwenda huko ulaya akitembea na akarudi akiwa maiti?Ndio maana Magufuli kawaambia likija jambo lolote linalozidi mwanadamu uwezo wakwanza ni kumkimbilia Mungu mweza yote.
Kwani kabla ya korona watu walikuwa hawafi kwa magonjwa ya kukosa pumzi na kubanwa kifua? Sasahivi mnahamini kila anayekufa kwa kubanwa kifua ni corona ambacho sio kweli, kwani tokea mwanzo watu/viongozi walikuwa hawafi? Nyerere au Dkt Omaly juma mbona walikufa?sio kila kifo ni corona msitufokee.Sasa hivi pana genge ukifa hata kwa Corona, watasema siyo Corona.
Ama kweli nyani haoni ku*dule.
Wapo radhi kusingizia lolote ikibidi wanaweza sema hata umechomwa kisu!
Hadithi za ilikuwa ugonjwa wa moyo, pneumonia, changamoto za kupumua, mafua makali, mafua ya kubana, nk mbona sasa tumezizoea mwisho?
Ajabu zaidi ni kuwa, wako tayari hata kutengeneza ajali hewa ali mradi waseme siyo Corona!
Ninakazia:
View attachment 1707989
Kina nani hao?
Kwani kabla ya korona watu walikuwa hawafi kwa magonjwa ya kukosa pumzi na kubanwa kifua? Sasahivi mnahamini kila anayekufa kwa kubanwa kifua ni corona ambacho sio kweli, kwani tokea mwanzo watu/viongozi walikuwa hawafi? Nyerere au Dkt Omaly juma mbona walikufa?sio kila kifo ni corona msitufokee.
Kufa kupo ndugu,kawa tarehe ya kufa imefika hata angaperekwa ulaya angelifia huko, mbona mwalimu nyerere alikwenda huko ulaya akitembea na akarudi akiwa maiti?Ndio maana Magufuli kawaambia likija jambo lolote linalozidi mwanadamu uwezo wakwanza ni kumkimbilia Mungu mweza yote.
Anayewapangia jinsi ya kuishi ni Nani?
Kwanini mnaamini kuwa nyungu na tangawizi na malimao haviwezi kutusaidia?.
WHO NI NANI KATIKA AFYA ZETU?
Amekufa kwa changamoto ya upumuajikwani kijazi amekufa kwa corona???
Nimedhani haitakuwa busara kuacha kukumbusha GoT inasema je kuhusu WHO:
View attachment 1709119
Umesikia hayo mambo?
Pole pole tutaelewana tu hata tukiwa makaburini au vipi jombi?