Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,314
- 93,919
Not only dettol kubwa. Dettol za maji zote wameandika humancorona virus kabla hata corona hajaanza kutrend.Hakuna siku huyu mama alinichefua kama siku hyo. Itambulike tu Corona haijaanza leo wala Jana, ilikuwepo! Na ndo maana makopo ya delto kubwa yameuweka ugonjwa huooo hapo. Ummy alinichefua sana wakafanya ikawa movie kabisa na misamaha ya mgonjwa kwa watanzania!
Yule mshenzyy aliomba msamaha kwa kosa gani hasaa? Ama alijiambukiza ili aje atumalize watanzania? Ama alijiambukiza kimdomoni! Pumbavuuuu zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa mkuu ile homa kali ndo corona yenyewe na wachina wamepeleka kwao sasa dunia nzima inafaidi utamu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ugonjwa ulikuwepo toka last year Dec na wizara husika haikujua ni ugonjwa gani zaidi ya kusema tuu kwamba ni homa kali na itaisha. Nadhani kuna mchina aliupeleka huko Wuhan
I concur with you. Wakipata technology ya kupima antibodies watakuta over 90% wanayo ikimaanisha walishaugua/kupata hawa wadudu na wamepita
Kwamba waswahili wote tuliomsikiliza tumeelewa alichozungumza!hahaa eti aliyekuwa anahojiwa kingereza na kujibu kwa kiswahili
kulikuwa kuna ulazima gani wa kuweka haya maneno
Sent using Jamii Forums mobile app
Kujua status yake so far......na hiyo hajajipangia bali ni kwa mujibu wa utaratibu wa kitabibu!Anafanya supplementary test..?
JAMAAA ANA VIPIMO VYAKE NN AISEE YUKO JUU KAMA CORONAMwana FA amehojiwa na mwandishi na mtangazaji nguli wa Citizen tv Jeff Kainoge kuhusu maambukizi yake na namna alivyoupata.
Mwana FA ambaye alikuwa anahojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu kwa kiswahili amesema kwa sasa anaendelea vizuri lakini bado ametengwa mahali fulani akipata uangalizi kwa mujibu wa taratibu za kiserikali.
Mwana FA amesema kesho ndio siku ya 7 tokea apimwe kwa mara ya kwanza hivyo atafanya vipimo vya mara ya pili kujua kama bado ni positive au ameshapona.
Pia ametoa angalizo kwa watu wote kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa upo.
Source Citizen tv!
Kamuhoji kwa njia ya simu bwashee!Sasa huyo anayemhoji hamuogopi mgonjwa? Na huko ndio kutengwa kwa aina gani akili yangu imekataa kuamini macho
Kwani SA ni mbali bwashee?!Alipimia hospitali gani vile?
Siku aliyopima ndo akapewa majibu na kesho siku ya saba imefika......
Ila MwanaFA ulikua umepotea kwenye media
Vipimo ni vya serikali!JAMAAA ANA VIPIMO VYAKE NN AISEE YUKO JUU KAMA CORONA
MWANAA -FATUMA KATUMWA NA JPM kuhadaa ulimwengu, tunajua na itawagharimu, na kama anao ajue corona inaua nguvu za kiume kwahiyo ndio basi tena huyu mwana fatumaMwana FA amehojiwa na mwandishi na mtangazaji nguli wa Citizen tv Jeff Kainoge kuhusu maambukizi yake na namna alivyoupata.
Mwana FA ambaye alikuwa anahojiwa kwa lugha ya kiingereza na kujibu kwa kiswahili amesema kwa sasa anaendelea vizuri lakini bado ametengwa mahali fulani akipata uangalizi kwa mujibu wa taratibu za kiserikali.
Mwana FA amesema kesho ndio siku ya 7 tokea apimwe kwa mara ya kwanza hivyo atafanya vipimo vya mara ya pili kujua kama bado ni positive au ameshapona.
Pia ametoa angalizo kwa watu wote kuchukua tahadhari kwa kuwa ugonjwa upo.
Source Citizen tv!