Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

Tunatishana Saana, embu tuacheni tupumue

Kufa haitakuja izoeleke hata siku moja, lakini tuseme wazi kwamba, Iko namna Mungu anafanya juu yetu

Takwimu hizi za Katoliki, ni kubwa Sana, lkni kwamba ni kubwa ukilinganisha na za wapi,

Hili janga, achilia mbali takwimu hizi, Mimi bado naona hatujafikia mahali ambapo wenzetu walikuwa na wamefikia, kwamba ndani ya masaa 24 zaidi ya watu Elfu tatu, lkn hapa tunazunguzia wasitani wa kila siku pengine ni watu watatu Hadi watano, kama tu takwimu ya Kanisa ambalo linabeba theruthi ya watu wote linapoteza mtu mmoja mmoja per day!!

Maana yake ni mhimu kusema Mungu wetu anafanya kitu juu ya maombi yetu ingawa ni kweli tumepoteza Watanzania wenzetu, ndugu zetu n.k lakini hatuwezi kuacha kuusema wema wa Mungu kwetu, na tuna muda mfupi ujao tuagane na Corona kabisa

Kwa Mungu liko tumaini
 
Dogo, umeambiwa mapadri 25 na masista 60 kwa miezi 2 tuu, bila kuongelea waumini wa kawaida, afu unasema mtu mmoja per month?!!!

Hata Kama buku 7 tamu, em kuwa serious basi🙄
Sawa mkuu, nimerekebisha pale juu
 
Naona kasi ya kutetea msimamo wa boss wao umepungua. Kutetea misimamo ya jiwe unatakiwa uikane elimu uliyokuwa nayo kwanza.
Hata yule Profesa mpiga matarumbeta wa kulipwa kutoka Kenya almaarufu Lumumba kaona Ujinga kamchana laivu.

Viongozi wa Dini wameona waumini wanaangamia kwa maelfu kwa ukosefu wa Maarifa wa mtu moja

WHO nao wameweka wazi kuwa Nchi yetu ndio itakua mazalia ya virusi vipya
 
Back
Top Bottom