Utakuwa ni robot wewe sio binadamu!Binafsi sina yeyote ninamjua ambae amefariki kwa Covid-19 kuanzia phase 1 mpaka sasa Phase 2
Ila wakwako ndo boraRaisi watu mpendwa aache kuchukua ushauri wa mtu hatari kama Msukuma Nchi yetu ina vichwa vilivyosomea maswala ya pandemics
Uwezo wa Msukuma unaishia kwenye kuoga dawa na kuchanjwa chale.
Sasa hiyo barua inahusiana nini na comment yangu? Hao madokta wa Kenya wanawaandikia wa Kenya wenzao
Wewe ni mwongo! Huko mitaani hauishi pekee yako!! Hali si tete kama unavyodai. Tena halo ya mwaka huu ni nzuri sana ukilinganisha na mwaka jana!! Umelenga kuleta hofu na taharuki zisizo na sababu!! Umeshindwa kwa jina la Yesu!!
Waambie waliokutuma kuwa tumegonga mwamba!
Kwahiyo unamaanisha nini?watu wenye uzito mkubwa ( obesity ) wapo hatarini zaidi kufa kwa korona kuliko wengine Most virus deaths recorded in nations with high obesity levels: analysis nchi zenye vifo vingi zaidi ndo nchi zenye watu wenye uzito mkubwa kupindukia ! Asilimia kubwa ya wanaokufa hapa bongo naona ni watu wenye vitambi au umri mkubwa au vyote, tufanye mazoezi ndugu zangu
Sasa wamekuja na marufuku ya kutangaza misiba
Usidhani wao hawachukui kinga, hata pale wanapowachochea raia wajiachie.Kijana mvaa kaunda suti mpeni barakoa ya mgonjwa aende kwa wakubwa awaambukize atakuwa shujaa wa Taifa
"We know for a fact there are drugs that have been re-repurposed and used effectively to treat covid-19. We also know that vaccination for this disease is totally unnecessary making the motivation suspect." Dr. Stephen K Karanja.
Angalia kazi ya shetani ikipitia kwenye mikono ya watu wanaoaminiwa kuwa watumishi wa watu!
Pawe na dawa zenye uwezo wa kutibu ugonjwa, halafu dunia nzima ihangaike na kuangalia watu wake wakipoteza maisha?
Amejuaje kwamba chanjo ya ugonjwa huu haina ulazima wowote? Amefanya utafiti na kufikia hitimisho hilo lini na wapi?
Pamoja na hayo yote, aliyefurahia barua hiyo kama ushahidi kwetu, kaona inafaa asiweke sehemu ya pili ya barua hiyo kwa sababu haiungi mkono lengo lililokusudiwa - yaani kuonyesha serikali yetu hapa inafanya vizuri kuhusu ugonjwa huu.
Yeye alisema "anajua mengi kutokana na nafasi aliyo nayo," ikiwa ni pamoja na kujua kwamba barakoa toka nje ya nchi sio salama kwa raia wake kwani zinalenga kuwamaliza!Kutisha au kutishwa maana yake nini?
Unatishwa vipi na taarifa za ukweli ewe mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Ndiye atakaekuwa wa kwanza kutega bega ili adungwe chanjo iliyoingia KenyaDr. Stephen K Karanja.