Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

Corona: Misiba mitaani imekuwa mingi mno. Hii siyo kawaida

hiyo ni takwimu nimeikuta mahali, fungua hiyo link apo uisome

Kinga ndio muhimu mkuu.

Ingekuwa ni hivyo basi wazee,mabonge,wenye group A wangekuwa wameshakwisha.

Kuna jamaa alipata corona alikuwa Bonge zaidi ya Big Punisher lakini alipona corona ,pia kuna jamaa yangu mwembamba na yeye alipata corona ilimpelekesha zaidi ya wiki mbili ndio akapona ila mkewe hajapata wakati walikuwa close.
 
Wajameni huu uzi unahusika. Katika kipindi cha chini ya mwaka mmoja, pichani:

IMG_20210313_091846_946.jpg

watatu ni marehemu. Wawili wakifariki ndani ya week tatu zilizopita.

Tutakuwa mamburula kweri kweri kujidanganya kuwa hivi ni vifo vya kawaida na eti kuwa hatuna sababu bado hata ya kujiuliza tu.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Sasa hivi mshapewa tukio la ukimya wa rais Magufuli mnajadili,hizi story na corona hazina nguvu sana sasa hivi. Na mimi nasema ukimya uendelee hivyo hivyo ili tupumzishe hizi nyuzi za corona.
 
Hapa nipo kwenye msiba wa rafiki yetu baada ya kufariki kwa changamoto ya upumuaji na kesho mida ya saa saba marehemu anatarajiwa kusafirishwakuelekea Mbeya kwa maziko. Nashukuru wahudhuriaji wamechukua tahadhali zote za kujikinga na Corona kwa kuvaa barakoa na kukaa mbalimbali kila sehemu kukiwa na ndoo za maji tiririka.

Mungu aliepushe taifa letu katika hii kadhia ambayo viongozi wetu baada ya kusa wafariji wakuu wamegeuka kuwa wauwaji. Narudia tena kusma kula wamegeuka kula wauaji
Serekali inapingana na ukweli bita ambayo ni ngumu kushinda
 
Umejichanganya vilivyo kwenye bandiko lako. Haieleweki kwa nini ukweli ulete hofu badala ya kuwa ukweli utaleta umakini zaidi.

1. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa kuwadanganya watu kuwa ugonjwa haupo wakati upo haiwasaidii kujikinga nao. Bali ni wazi kuwa uwepo wa taarifa sahihi kunasaidia watu kuchukua tahadhari zaidi.

2. Ushahidi wa kiwango cha vifo kwetu unataka uupate vipi wakati kwa makusudi taarifa zinafichwa? Wewe hujasikia ugonjwa huu ukibatizwa majina tokea changamoto za kupumua, pneumonia, kujisikia vibaya, mafua, kubana mbavu, ajali nk?

3. Hakuna nchi Afrika yenye uwezo wa kuudhibiti ugonjwa huu? Hii si kweli. Kwenye red kuna husika:

View attachment 1717812

4. Hatua tunazochukua ni zile tu tunazo ziweza, una maana ni kama hizi za latra za kukaa mita moja stendi na kushonana kama magunia kwenye madala dala na ma ferry?

View attachment 1717813

Kwanini msimamo huu ni muafaka sana kwenu?

View attachment 1717815

Si mseme tu kuwa mmetutelekezea janga na mnaukimbia wajibu wenu. Kuwa wenye kufa shauri yetu na wenye kuishi shauri yao?

Kama yamewashinda si mpishe wengine waongoze vita hivi? Kwa nini kutusakizia na kututelekezea vifo vinavyoweza kuepukika?

Wazungu wanatoa takwimu kila siku. Lakini watu wanatukana na ndo wanavyunja masharti kinomanoma. Wazungu wanamental problems Sasa hawataki kusikia kuhusu corona.

Pamoja na mazingira mazuri ya watu huku hasa kimakazi lakini maambukizi yanazidi na wanakufa ingawa sio kwa idadi kubwa.

Sijajua Tz mnataka Nini. Njia mnazijua kujikinga ingawa kwa maisha ya hand to mouth economy na aina ya makazi Ni ngumu sana. So Option ya kufanya mazoezi na kufanya damu isigande Ni jambo kubwa.
 
Njia tunazijua lakini hili dude limeondoka na vigogo ambao hata magari yao hayana popote T. Kwenye namba za utambulisho.

Hapo achilia mbali kina Trump, Queen Elizabeth, Prince Charles au jirani yetu kipenzi Raila Omolo liliopata kuwasuka suka.

Au una majibu kwenye hili?

IMG_20210214_214251_251.jpg

Au yale yale ya:

IMG_20210218_174254_207.jpg

Hiiiiii bagosha
 
Mnakufa na UKIMWI mnasingizia corona... Endeleeni kumegana bila condoms
 
Mimi kwa sasa simu ikilia tu najua tayari, simu za misiba zimekuwa nyingi sana kuliko Ukimwi wa miaka ya90.

Mimi mwenyewe nikijsikia dalili za mafua tu nakosa raha kabisa naanza kuwaza kuwafikiria Watoto wangu hawa wadogo na usingizi sipati.

Una stress, nayo ni ugonjwa unaoweza kusababisha kukata pumzi

Unaweza usife kwa corona ukafa kwa stress, ajali, mshtuko au maradhi mengine.
 
Kwa kweri hata tetemeko la Kagera hakuleta. Hapo kwenye red ulipata nafasi ya kupaona maishani mwako?

View attachment 1718112View attachment 1718112

Hii nayo ulipata kuiona au kubwa bwaja kama bata tu jombi?

View attachment 1718120

Au nasema uongo ndugu zangu?
Nani na nchi gani unategemea itakupa wewe chanjo ya bure? Bill Gates?

Sikiliza mkuu, Ujerumani kila siku ya mungu wanachanja watu laki tano mpaka laki saba, lakini kila siku wana average ya watu 12,000 wanaokuwa infected, idadi ya vifo kwa siku ni watu 300 mpaka 400, infection rate kwa siku ni 1.26 na incident number kwa siku 7 ni 70. Wagonjwa wa COVID-19 ambao wako ICU ni 2,721. Hii yote pamoja na Lockdown na kuvaa Barakoa.

Idadi ya active infections ni 133,000 na idadi ya vifo vilivyotokea so far ni 73,363

Je Tanzania inaweza fikia data hizo za wajerumani?

Unajua idadi ya watu waliokuwa tested Pakstani? Kuna nchi inafanya Lockdown Afrika kwa sasa zaidi Afrika ya kusini?

Jifunze kujitegemea mwenyewe vadala ya kutegemea misaada ya caucasians, utaiuza nchi yako na kuharibu vizazi vyetu vya baadae.

Eti chanjo ya bure, chanjo ngapi kwa watu bilioni 1.4? Endelea kuwa na njozi za mchana. Wazungu waache kuwachanja watu wao wakufikirie sokwe kama wewe! Wewe ni mpumbavu sana. Hivyo yanayo tokea huko kwao huyasikii? Hujui na hujasikia kuwa haya ma-caucasians yanagombania chanjo ambazo hata wao wenyewe haziwatoshi?

Unajua saa nyingibe kuishi gizani kwenye mapango nako kuna sumbua sana. Tembea uone na usikie mambo yanayo endelea ulimwenguni.

Umesikia kuwa Amerika na England nchi ambazo zina produce chanjo kwa wingi hivi sasa, wamezuia chanjo zisitolewe nje mpaka kwanza watu wao wote wamechanjwa? Alafu mkoma kama wewe unakuja na maelezo ya chanjo za bure. Chanjo za bure? Kutoka wapi? Wewe ni kichaa mkubwa. Sijui nani anakujaza upuuzi huo?
 
Ila mna nia kweli chanjo hii ishindwe. Badala yake mtashindwa nyinyi!

Mkaja na hadithi kuwa hadi sasa kwanini hawachanji watu wao kuwa ni chini tu ya 5% kwa waliochanjwa.

Mkaja na nyingine kwa nini wanataka kutuchanja sisi.

Sasa mmekuja na mpya kwamba kwao hazitoshi na ni nia yao kuwachanja watu wao wote.

Na ghafla umekuja na mpya zaidi kuwa sisi masokwe.

Looh!

Mbona mu wapumbavu hivyo? Kwamba ni sehemu gani ya katiba inawapa nyie mamlaka ya kutusemea?

Kwamba COVAX hujui ni nini na nani analipia na nani mnufaika?

Kwamba hujui kuna walio hatarini zaidi na ilifaa kuwahami hao kwanza?

Kwamba huna unachojua na bado unafungua somo lako?

IMG_20210218_174254_207.jpg

Mamburula nyie ujinga na upumbavu huu mnajazana wenyewe hapo Lumumba?

Disgusting!
 
Wazungu wanatoa takwimu kila siku. Lakini watu wanatukana na ndo wanavyunja masharti kinomanoma. Wazungu wanamental problems Sasa hawataki kusikia kuhusu corona.

Pamoja na mazingira mazuri ya watu huku hasa kimakazi lakini maambukizi yanazidi na wanakufa ingawa sio kwa idadi kubwa.

Sijajua Tz mnataka Nini. Njia mnazijua kujikinga ingawa kwa maisha ya hand to mouth economy na aina ya makazi Ni ngumu sana. So Option ya kufanya mazoezi na kufanya damu isigande Ni jambo kubwa.

Nalazimika kwa masikitiko ku update uzi huu:

IMG_20210318_132000_124.jpg

Wote wanna hapo ndani ya mwaka mmoja, gone!

Watatu kati yao ndani ya miezi mmoja.

Misukule bado inaona ni sawa.

Asipostuka Samia ku enforce mabarakoa na social distancing asipoangalia naye anaweza kututangulia.

Apumzike kwa amani John Pombe Joseph Magufuli.
 
Back
Top Bottom