Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,195
Endelea kujidanganya ,Amo Blaze,Cpwaa walikuwa Mabonge Nyanya na wazee? Umuhimu kuwa na kinga imara regardless u mzee,bonge au kimbaumbau.watu wenye uzito mkubwa ( obesity ) wapo hatarini zaidi kufa kwa korona kuliko wengine Most virus deaths recorded in nations with high obesity levels: analysis nchi zenye vifo vingi zaidi ndo nchi zenye watu wenye uzito mkubwa kupindukia ! Asilimia kubwa ya wanaokufa hapa bongo naona ni watu wenye vitambi au umri mkubwa au vyote, tufanye mazoezi ndugu zangu
Mkuu nafikili wewe unaishi nchi za nje, KWA nini unabeza maneno ya mtoa mada Hali ni mbaya vifo vipo kila siku ndio KWA Sasa vimeongezeka mkuu, tutakuja kumbuka shuka kumekuchaNdio inayoua watu dunia nzima?
Alafu hiyo misiba ipo huko mitaani kwenu tu?
Naona kasi ya kutetea msimamo wa boss wao umepungua. Kutetea misimamo ya jiwe unatakiwa uikane elimu uliyokuwa nayo kwanza.
Kuweni na huruma na maisha ya watu.Sawa mkuu, nimerekebisha pale juu
Nimemshamgaa sana huyu jamaa,nilitaka nimtajie watu waliokufa bila kuwa na vitambi,Ila nilipoona jina lake japo juu,HUNIJUI SIKUJUI,nkaamua kupiga kimya.Wenye umri mkubwa unawashauri vipi?
Maalim wala balozi hawakuwa na vitambi wala hawakuwa na obesity.
Ni wajibu wa jamii na serikali kuwahami walioko hatarini zaidi.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Tunatishana Saana, embu tuacheni tupumue
Kufa haitakuja izoeleke hata siku moja, lakini tuseme wazi kwamba, Iko namna Mungu anafanya juu yetu
Takwimu hizi za Katoliki, ni kubwa Sana, lkni kwamba ni kubwa ukilinganisha na za wapi,
Hili janga, achilia mbali takwimu hizi, Mimi bado naona hatujafikia mahali ambapo wenzetu walikuwa na wamefikia, kwamba ndani ya masaa 24 zaidi ya watu Elfu tatu, lkn hapa tunazunguzia wasitani wa kila siku pengine ni watu watatu Hadi watano, kama tu takwimu ya Kanisa ambalo linabeba theruthi ya watu wote linapoteza mtu mmoja mmoja per day!!
Maana yake ni mhimu kusema Mungu wetu anafanya kitu juu ya maombi yetu ingawa ni kweli tumepoteza Watanzania wenzetu, ndugu zetu n.k lakini hatuwezi kuacha kuusema wema wa Mungu kwetu, na tuna muda mfupi ujao tuagane na Corona kabisa
Kwa Mungu liko tumaini
Nimemshamgaa sana huyu jamaa,nilitaka nimtajie watu waliokufa bila kuwa na vitambi,Ila nilipoona jina lake japo juu,HUNIJUI SIKUJUI,nkaamua kupiga kimya.
Naona labda kina Melinda na mumewe waliongea yale kwasababu wameona mbele kuliko sisi kwa reflection wanayoipata kutoka kwa viongozi makaidi kama....... I reserve other wordsWamekuwa wapole. Ni wazi kuwa si nyungu, maombi wala zile juice za NIMRI zinazohitajika bali kuchukua hatua stahiki na chanjo haviepukiki tena.
Tusipoamka mbona tunasererekea kwenye yale ya kina Melinda na Bill Gates?
watu wenye uzito mkubwa ( obesity ) wapo hatarini zaidi kufa kwa korona kuliko wengine Most virus deaths recorded in nations with high obesity levels: analysis nchi zenye vifo vingi zaidi ndo nchi zenye watu wenye uzito mkubwa kupindukia ! Asilimia kubwa ya wanaokufa hapa bongo naona ni watu wenye vitambi au umri mkubwa au vyote, tufanye mazoezi ndugu zangu
Tabata mkuuUnaishi wapi mkuu?
Nani alikuambia Maalim alifariki kwa Corona?Hata Maalim Seif hakuwahi kumsikia au kumfahamu?
Au wewe mhamiaji haramu bwana Mpinzire?
Kwa maneno ya wale na kwa Tanzania ilitakiwa ata 70% ya wakazi wa Dar es Salaam tuwe tumeshafariki.Naona labda kina Melinda na mumewe waliongea yale kwasababu wameona mbele kuliko sisi kwa reflection wanayoipata kutoka kwa viongozi makaidi kama....... I reserve other words
Màneno yapi walioysema? Nikiwasema kuwa mna kasoro wanamifunhiaKwa maneno ya wale na kwa Tanzania ilitakiwa ata 70% ya wakazi wa Dar es Salaam tuwe tumeshafariki.
Màneno yapi walioysema? Nikiwasema kuwa mna kasoro wanamifunhia
Poleni sana Ndugu jamaa na marafikiTANZIA - Padri Wilfrid Dinho Wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Afariki Dunia
Maneno haya hapa Ni kutoka kwenye fb page ya Askofu Kilaini. Kwaheri Fr. Wilfrid Dinho. Pole sana Baba Ruzoka na wana Tabora ndugu na jamaa. . Huyu Fr. Dinho ni mmojawapo wa classmates wangu wachache waliokuwa wamebaki. Tulipanga mwaka kesho tusheherekee pamoja miaka 50 ya upadre. Utuombee...www.jamiiforums.com
Tanzia: Padri Wilfrid Dinho Wa Jimbo Kuu Katoliki Tabora Afariki Dunia.