HUNIJUI SIKUJUI
JF-Expert Member
- Apr 4, 2015
- 1,335
- 1,641
hiyo ni takwimu nimeikuta mahali, fungua hiyo link apo uisomeEndelea kujidanganya ,Amo Blaze,Cpwaa walikuwa Mabonge Nyanya na wazee? Umuhimu kuwa na kinga imara regardless u mzee,bonge au kimbaumbau.
tufanye mazoezi kuweka mwili vizuriKwahiyo unamaanisha nini?
kuna ukweli, lakini hata watu baki naoNa watu wenye elimu.na uzungu mwingi
hiyo ni takwimu nimeikuta mahali, fungua hiyo link apo uisome
kuna ukweli, lakini hata watu baki nao
Serekali inapingana na ukweli bita ambayo ni ngumu kushindaHapa nipo kwenye msiba wa rafiki yetu baada ya kufariki kwa changamoto ya upumuaji na kesho mida ya saa saba marehemu anatarajiwa kusafirishwakuelekea Mbeya kwa maziko. Nashukuru wahudhuriaji wamechukua tahadhali zote za kujikinga na Corona kwa kuvaa barakoa na kukaa mbalimbali kila sehemu kukiwa na ndoo za maji tiririka.
Mungu aliepushe taifa letu katika hii kadhia ambayo viongozi wetu baada ya kusa wafariji wakuu wamegeuka kuwa wauwaji. Narudia tena kusma kula wamegeuka kula wauaji
Umejichanganya vilivyo kwenye bandiko lako. Haieleweki kwa nini ukweli ulete hofu badala ya kuwa ukweli utaleta umakini zaidi.
1. Kuna ushahidi wa kutosha kuwa kuwadanganya watu kuwa ugonjwa haupo wakati upo haiwasaidii kujikinga nao. Bali ni wazi kuwa uwepo wa taarifa sahihi kunasaidia watu kuchukua tahadhari zaidi.
2. Ushahidi wa kiwango cha vifo kwetu unataka uupate vipi wakati kwa makusudi taarifa zinafichwa? Wewe hujasikia ugonjwa huu ukibatizwa majina tokea changamoto za kupumua, pneumonia, kujisikia vibaya, mafua, kubana mbavu, ajali nk?
3. Hakuna nchi Afrika yenye uwezo wa kuudhibiti ugonjwa huu? Hii si kweli. Kwenye red kuna husika:
View attachment 1717812
4. Hatua tunazochukua ni zile tu tunazo ziweza, una maana ni kama hizi za latra za kukaa mita moja stendi na kushonana kama magunia kwenye madala dala na ma ferry?
View attachment 1717813
Kwanini msimamo huu ni muafaka sana kwenu?
View attachment 1717815
Si mseme tu kuwa mmetutelekezea janga na mnaukimbia wajibu wenu. Kuwa wenye kufa shauri yetu na wenye kuishi shauri yao?
Kama yamewashinda si mpishe wengine waongoze vita hivi? Kwa nini kutusakizia na kututelekezea vifo vinavyoweza kuepukika?
Ana ujasiri, mpaka kujitoa mhanga!Tunatishana Sana!
Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Sasa hivi akili zimeshaanza kuwakaaSerekali inapingana na ukweli bita ambayo ni ngumu kushinda
Nonsense
Wazungu wanatoa takwimu kila siku. Lakini watu wanatukana na ndo wanavyunja masharti kinomanoma. Wazungu wanamental problems Sasa hawataki kusikia kuhusu corona.
Pamoja na mazingira mazuri ya watu huku hasa kimakazi lakini maambukizi yanazidi na wanakufa ingawa sio kwa idadi kubwa.
Sijajua Tz mnataka Nini. Njia mnazijua kujikinga ingawa kwa maisha ya hand to mouth economy na aina ya makazi Ni ngumu sana. So Option ya kufanya mazoezi na kufanya damu isigande Ni jambo kubwa.
Mimi kwa sasa simu ikilia tu najua tayari, simu za misiba zimekuwa nyingi sana kuliko Ukimwi wa miaka ya90.
Mimi mwenyewe nikijsikia dalili za mafua tu nakosa raha kabisa naanza kuwaza kuwafikiria Watoto wangu hawa wadogo na usingizi sipati.
Nani na nchi gani unategemea itakupa wewe chanjo ya bure? Bill Gates?Kwa kweri hata tetemeko la Kagera hakuleta. Hapo kwenye red ulipata nafasi ya kupaona maishani mwako?
View attachment 1718112View attachment 1718112
Hii nayo ulipata kuiona au kubwa bwaja kama bata tu jombi?
View attachment 1718120
Au nasema uongo ndugu zangu?
Nani na nchi gani unategemea itakupa wewe chanjo ya bure? Bill Gates?
Sikiliza mkuu, Ujerumani kila siku ya mungu wanachanja watu laki tano mpaka laki saba, lakini kila siku wana average ya watu 12,000 wanaokuwa infected, idadi ya vifo kwa siku ni watu 300 mpaka 400, infection rate kwa siku ni 1.26 na incident number kwa siku 7 ni 70. Wagonjwa wa COVID-19 ambao wako ICU ni 2,721. Hii yote pamoja na Lockdown na kuvaa Barakoa.
Idadi ya active infections ni 133,000 na idadi ya vifo vilivyotokea so far ni 73,363
Je Tanzania inaweza fikia data hizo za wajerumani?
Unajua idadi ya watu waliokuwa tested Pakstani? Kuna nchi inafanya Lockdown Afrika kwa sasa zaidi Afrika ya kusini?
Jifunze kujitegemea mwenyewe vadala ya kutegemea misaada ya caucasians, utaiuza nchi yako na kuharibu vizazi vyetu vya baadae.
Eti chanjo ya bure, chanjo ngapi kwa watu bilioni 1.4? Endelea kuwa na njozi za mchana. Wazungu waache kuwachanja watu wao wakufikirie sokwe kama wewe! Wewe ni mpumbavu sana. Hivyo yanayo tokea huko kwao huyasikii? Hujui na hujasikia kuwa haya ma-caucasians yanagombania chanjo ambazo hata wao wenyewe haziwatoshi?
Unajua saa nyingibe kuishi gizani kwenye mapango nako kuna sumbua sana. Tembea uone na usikie mambo yanayo endelea ulimwenguni.
Umesikia kuwa Amerika na England nchi ambazo zina produce chanjo kwa wingi hivi sasa, wamezuia chanjo zisitolewe nje mpaka kwanza watu wao wote wamechanjwa? Alafu mkoma kama wewe unakuja na maelezo ya chanjo za bure. Chanjo za bure? Kutoka wapi? Wewe ni kichaa mkubwa. Sijui nani anakujaza upuuzi huo?
Wazungu wanatoa takwimu kila siku. Lakini watu wanatukana na ndo wanavyunja masharti kinomanoma. Wazungu wanamental problems Sasa hawataki kusikia kuhusu corona.
Pamoja na mazingira mazuri ya watu huku hasa kimakazi lakini maambukizi yanazidi na wanakufa ingawa sio kwa idadi kubwa.
Sijajua Tz mnataka Nini. Njia mnazijua kujikinga ingawa kwa maisha ya hand to mouth economy na aina ya makazi Ni ngumu sana. So Option ya kufanya mazoezi na kufanya damu isigande Ni jambo kubwa.