Hii sio kweli, kwa wale tunaoamini ktk maandiko. Hii dunia ina mwenyewe aliyeweka hao watu ambao wewe unafikiri ni chochote kuweza kuiangamiza hii dunia.Wanaoiongoza hi dunia wataamua lini uwe mwisho wake!! nina maana kwamba Bidadamu anaweza kuamua tarehe ngapi ndio uwe mwisho wa dunia...hili nafikiri wote mtakubaliana na mimi.
Ukiipata naomba unitumie na mm.mkuu( gladismsuya97@gmail.com)
Nakumbuka hata kifo Cha nguli Kobe Brayant kiliandikwa miaka mingi iliyopitaNa hapa ndio flat Earthers sometimes naona wako sahihi sabab kuna Mambo mengi sana duniani yanakuwa yanajulikana na watu wachache tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitabu kilichoandika hayo mkuu...propaganda za westerners hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee JAMAAA wabaya sanaa aisee