For the first time in my lifetime,since he was minister ,i am together with Mr.John Pombe Joseph Magufuli.I like the way he approaches this matter.
No need for panic,but carefully and gradually responding to the circumstances, accordingly.
Wakati mimi nawaza kuhusu watoto wangu na usalama wao,yeye lazima aende into every detail of every life in this country,pamoja na corona ila lazima awaze kuhusu uchumi wa nchi,na mambo mengine mengi ambayo if we mess around with them then hatutakuwa na nchi.
We are leading our families and maybe a few others maofisini mwetu,ila yeye anaongoza watu zaidi ya 57 million!
Kuna roho ngumu na utulivu ambao anapaswa kuwa nao sometimes to make decisions ambazo sio rahisi sana ila ndio zinatakiwa nyakati fulani katika situation fulani. Na akiwa hivyo yeye kiongozi,anatupa ujasiri na sisi na ndipo vichwa vinatulia, ubunifu unakuja, hatua zinachukuliwa,mambo yanawezekana.
God be with you Mr President,May God be with all of us.