Hahahah...Amina na corona ije tu watu tushajichokea ....
am better here
Kenya siku ya leo wamepunguza garama za kutuma na kupokea miamala kwenye simu na garama za kupiga simu kama njia ya kuwajengea wananchi uwezo dhidi ya CV 19.Well said,maana kuna watu hapa wanakuwa kama wamepata sababu ya kuilaumu serkali,wakati serikali iko kuhakikisha nchi inakuwa salama,tuwe watulivu,huku tukisubiria tamko la serikali ni jinsi gani tuendelee kuchuka tahadhari badala ya kutoa lawama...
Sent using Jamii Forums mobile app
Corona imeshaingia .badala ya kulalamika toa suggestion ambazo zina akili sio kukaa kulalamika coz hakutaiondoa hiyo corona nje ya hapo na ww utakuwa ni "taahira kama mataahira wengine"Hii ni hoja ya kitaahira. Kwa sababu walifunga na wamepata basi hatukutakiwa kufanya?
Mkuu kuhusu watoto wako sio mpaka shule wakwambie wamefunga!!!Hawawezi funga na hivi si umesikia mgonjwa alijipeleka mwenyewe hosp so angeamua kukausha mpaka sasa hivi ingekua Tanzania haijaingia Corona
Wa nchi zingine walishaanza.Nitashangaa sana kama wasiasa wataigeuza hii issue ya Corona kama agenda ya kujipatia umaarufu wa kisiasa.
Why should i believe you???Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.
Mkuu huu ugonjwa mapafu yanacollapse kabisa yaani hauna mbabe,,Ni jinsi mwili wako utakavyoupokea tu.Dadeki! Hafi Mtu kibwegebwege hapa
pale chini mods wameandika, we hve our office in dar but we still operate virtually kuwa makini pamoja na likizo ila jamaa anaka na ka iphone kake ankulamba banWawape likizo mods tujimwage mwage au mnasemaje
Watu gani hao rafiki?Kuna watu wamefurahi sasa
Nina hakika kuna kiungo kingine unatumia kufikiri tofauti na kichwa.Nchi hii ni takataka hasa kipindi hiki cha huu utawala wa Magufuli, walimficha daktari mgonjwa aliyekufa kwa Ebola, huu inaonekana wameugua zaidi ya mmoja wakaona ni bora watangaze maana kila kitu kilikuwa wazi, hata hivyo. Zilianza rumors lakini serikali hii ya wajinga wanatumia nguvu nyingi kupindisha ukweli.