Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Yaani mgonjwa aliamuua kujitenga yeye mwenyewe,kisha akajipeleka Hospitali,je kama angeamua kwenda mtaani ingekuwaje?
 
Utafiti kasi ya mambukizo corona;

Patients produced thousands to millions of viruses in their noses and throats, about 1,000 times as much virus as produced in SARS patients, Clemens Wendtner, director of infectious disease and tropical medicine at Munich Clinic Schwabing, a teaching hospital, and his colleagues found. That heavy load of viruses may help explain why the new coronavirus is so infectious.
 
Huyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
Kabisa kabisa...nimeshangaa sana!

Sana sana..ni upendo wa aina gani huo..

Hakufanyiwa isolation na serikali ila yeye aliona kuna ulazima huo wa kufanya. Hongera mama popote ulipo tunakuombea upone haraka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa asingeamua kujifungia mwenyewe angechanganyikana na raia baada ya vipimo vyenu fake kutomtambua kua anaumwa unafikir nini kingetokea mpaka sasa ?

je hapo alipokua anaishi pako salama ?
Alikuwa na akili Sana,Ina maana hakuenda kwake,badala yake akajufungia hotelini kusikilizia dalili,alipoona Hali Tata akajisalimisha hospital
 
Kuna possibility kubwa kukawa na visa zaidi ya hicho maana si rahisi sana kufuatilia nyendo zote za kisa hicho.

Hatari ni halisi!
 
Inasemekana waliambiwa watangaze hiyo mikutano kuwepo na wafadhili wao Western embassy,ili serikali iwakatalie ili d tupate shinikizo kuelekea.uchaguzi mkuu,imekula kwao.
Pia kuna wanawake wameandaliwa wakiongoza na mashangazi wataifa (wakora),watoe tamko kuhusuu kisago walichopata kina Mdee
Kamanda Mbowe keshatangaza mikutano ya hadhara nchi nzima, duh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…