Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
Kwanini hakupima huko huko? Na alijua ameishi na mtu mwenye corona!Alikuwa na akili Sana,Ina maana hakuenda kwake,badala yake akajufungia hotelini kusikilizia dalili,alipoona Hali Tata akajisalimisha hospital
Na bila yule mama wa WHO asingetangaza huyu waziri wenuWamevumilia na kujitahidi kuficha ila wameshindwa kuficha zaidi.
OMBI NA USHAURI WANGU KWA MAMLAKA HUSIKA, WASIWACHANGANYE WATU/WAGONJWA WANAOHISIWA PAMOJA KWANI KUNA WENGINE AMBAO WANAUMWA MAGONJWA YA KAWAIDA, SASA WATAKAPOWACHANGAJI, WAGONJWA, YULE MWENYE CORONA ATAWAAMBUKIZA HAO WENGINE, HIVYO WAJITAHIDI KUWATENGA KWA KADRI ITAKAVYO WEZEKENA.
KabisaWacha tufe tu tumezidi uzembe.
Ooh sawa binti.Wewe ni mshenzi na mjinga. na pia mpumbavu
Pumbavu la mwisho hiloAcha upumbavu wewe, mpumbavu sana wewe kila mwanamke unamuona ni malaya
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa binti kosa langu ni kuwa na wasiwasi na kiungo unachotumia kufikiri?Wewe una shida kichwani kwako
Na bila yule mama wa WHO asingetangaza huyu waziri wenu
Ndio upumbavu wa wanawake. Mwanamke hata awe na elimu,lakini anakuwa kama mtoto tu. Mpaka wasaidiwe kujiongoza. 1. Yeye kasikia huko ulaya kumewaka moto,mpaka nchi kama USA imezuia hizo nchi za ulaya zisiende USA. Lakini bado akapanda ndege kuufuata ugonjwa tena kwenda nchi zile zile zilizozuiliwa. Kama haitoshi akaanza kulanda landa huku na kule,mbwiga kabisa. 2. Amejua kabisa anaweza akawa amenasa kwa nini asibaki huko huko,akaona tena apande ndege atuletee na huku. Haya sasa familia yake imepona hapo?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulishapiga kelele sana kuhusu hili. Na mkiona hivyo mjue corona iko hadi katavi. Kwa mjibu wa mtu wangu wa karibu hii corona ina 2 weeks hapa bongo imechili tu.
Siamini hili, uwezekano upo alishafahamu Hali yake ndio maana akajifanya kujiweka karantini. Nawaza huenda hata hapo airport vipimo vilionuesha tatizo lakini Kama kawaida ikatembea rushwa ili asitupwe karantiniDaaah! Kapimwa kakuta hana akaamua yeye mwenyewe kujiweka karantini