Masulupwete
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 2,366
- 2,424
HUYO MGONJWA NI MUUAJI MKUBWA. ITAKUWA ALISHAJUA AMEUNGUA. ALITAKIWA ASIRUDI ABAKI HUKOHUKO ULAYA HADI ATIBIWE NA KUPONA.Naona kuna tatizo kubwa. Waziri wa afya amesema mgonjwa alipimwa mara alipowasili na kuruhusiwa! Mgonjwa kwa busara zake alijitenga mwenyewe hotelini badala ya kwenda nyumbani! Kwa majibu wa Waziri! Na ndiko ugonjwa ulipoanza kuonekana. Wizara ya afya haijawa makini bado!!!!!
hhhhhhhh corona sio masiharaKumbe watu mko waoga eeh 🤣
Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.
Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.
Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
Mshaurini binti huyu anapotangaza suala serious kama hili her body language should indicate so kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mzaa afanye nje ya kamera na pale waandishi wasipokuwepo.
get something to do my friend!Mshaurini binti huyu anapotangaza suala serious kama hili her body language should indicate so kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mzaa afanye nje ya kamera na pale waandishi wasipokuwepo.
1- Mgonjwa katoka ubelgiji kwenye inchi yenye wagonjwa wa COVID-19Nakwambiaje, hii story kuna sehemu haiko sawa. Instinct zangu zinaniambia hivyo na huwa ziko sahihi 9/10.
Mkuu nadhani utakuwa na stress saana.So ulivyosikia kufunga mipaka akili yako ilikuwa inawaza kufukuza watu wote hata raia wa nchi?
Unatumia Nini kufikiri? Mbona akili nyepesi kabisa kuwa unapofunga mipaka maana yake aliyeenda kuzurura akirudi awe tayari kuswekwa karantini
Sent using Jamii Forums mobile app
I have a lot to do and I have accomplished in life more than what you have!get something to do my friend!
Nani kakuambia watu walikuwa hawapimwi?...unataka namna yako ya kuwapima kuwa rais utawapima ambavyo unaona inafaa zaidi wewe.Sikutegemea hata wewe ukose akili kiasi hiki, hivi wanavyofanya wenzetu Ni kwamba hawawapendi wananchi wao walioko nje?
Uganda tu hapo ametoa tamko hapo juzi ukiwa unatoka nje ya nchi yao ukirudi unakaa karantini uwe navyo usiwe navyo..
Sent using Jamii Forums mobile app
Landa tuwafuate tuangalie walivyobaki tutapata majawabu ya kila mmoja.Hao waliobaki China wamebakije?
Hii ilikuwa suluhisho, ..Tuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
Au atoke damu masikioniKenge huwa anatabia ya kutosikia hadi achunwe ngozi