Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Airport hawashiki passport sikuiz
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adi akae hoterini na adi asikie homa na mabadiliko ya mwili, ngoma iliingia nayo kitambo tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakati wenzao bila kujali kipimo kimesoma uko vizuri au la, wanakuweka karantini kwanza kama hutaki rudi ulikotoka
 
Na apo baada ya kuumwa sample ikatumwa dsm
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nasema Kuna kila dalili mlungula ulitembea ili eti akaji isolate, stupid woman, unaacha kuji isolate ulipoutolea unakuja kuua watanzania wenzako si upuuzi huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila safari yote toka Arusha kwenda Moshi haina tija. Ni vizuri kuweka utaratibu wa matibabu kila Mkoa na Halmashauri. Sasa huko kuhama hama kutazidi kusambaza ugonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mgonjwa huyu tayari alisha contaminate environment na watu wa Arusha lakini watu wetu wakaona wampeleke Moshi na kufungua Quarantine/Isolation place hapo na sio Arusha alikokaa na watu kadhaa Hotelini kwa siku kadhaa, hivi mgonjwa wa Cholera huwa anahamishwa kutoka pale alipougulia?
 
Kwani ugonjwa unatoa taarifa saa ya kuingia.? Huwenda alipata maambukizi ndani ya ndege au dalili kuonekana akiwa safarini.kilichotakiwa ni serikali kuwaweka wageni sehemu maalum kwa muda ili kuwabaini waathirika.
Huwa unagundulika baada ya mda gani tangu kuingia mkuu
 
Kuwait Kuna joto zaidi ya Dar na corona ipo. Waza Tena Mara ya pili mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atimize wapi huyo wakati alitumia mbinu azijuazo kutuletea hili janga huku.
Soma vizuri hiyo taarifa inasema aliondoka TZ tarehe 5 mwezi huu kwenda kuzurura na kupiga selfie sweden, Denmark then Ubelgiji hata baada ya taarifa kibao kuwaasa watu wasisafiri.

Katambua kabisa ameishi na mtu Mwenye virus lakini still kaona asafiri Tena kutuletea na sisi zawadi ya Corona mpya kabisa aliyoenda kuitafuta kote huko.

Nimemchukia Sana huyo mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu wameanza kuvaa mask mjini,,,
awareness ipo nimefurahishwa baada ya mtoto wa miaka 6 kuniuiliza corona ni nini?,na inaingiaje tumboni😀 na maswali mengine magumu ,ila kuna tetesi za wagonjwa wengine wapya,,na kuna nyumba ipo quarantined
 
WHO na UN walishasema hiki kirusi kikifika kwenye miji mikuu hasa East Africa itakuwa ngumu sana kupambana nacho,
na watakaoumia ni watanzania wa hali ya chini kwa maana wenzenu hawana hata hofu.
anatembelea gari ina piston 8 hawazi mafuta, nyumba kama ikulu.

sisi sasa.

watoto 150 darasa moja.
kuhemea mara 3 kwa siku
daladala ndio usafiri mkuu
mifumo ya malipo(payment methods) ni pesa mkononi.

Jamani hao viongozi huko na familia zao corona wataisikia redioni tu, nasikia uchungu sana, kitu tulikuwa tunaweza kukizuia kabisa lakini uzembe, wamekaa airport na zile mashine za kumulika utasema wanaangalia mikeka ya kubeti.

USA sio wajinga kukatisha safari toka ulaya.

Habari za sanitizer watanzania wangapi wana uwezo wa kununua?
hizo mask na gloves wangapi wanaeza nunua?
mmesahau tunaishi chini ya dola 1?

Mnashindwa kufunga airport mnasema tusalimiane kwa miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…