Ila safari yote toka Arusha kwenda Moshi haina tija. Ni vizuri kuweka utaratibu wa matibabu kila Mkoa na Halmashauri. Sasa huko kuhama hama kutazidi kusambaza ugonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So hapa kuna connections alizifanya na baadhi ya watu hapo hapo airport,aliyemkagua passport kama aliishika naye aliwazoa virus Mungu jaalia labda alikuwa amevaa vifaa kinga,tax driver aliyempakia kutoka uwanja wa ndege to lodge naye ana hatihati akawa alivizoa na wote wapo mtaani hawazijui hali zao wapo wanafurahi na jamaa zao tu.......
Mungu atunusuru Watanzania tuna mtihani mkubwa sana kuliko hawa wanasiasa wanavyofikiri.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Ngoma ilishatinga kitambo!
Inawezekana vipi kuwa mgonjwa tarehe 15 kapita uwanja wa ndege akiwa hana dalili yoyote na tarehe 16 ithibitishwe ana corona?!!!
Huyo mwanamke iweje atoke matembezi majuu atue saa 10 jioni KIA na kuishia hotelini badala ya kufikia kwake??!! Au alikuwa anasubiria saibaba ya saa nne yenye bei nafuu ili aendelee na safari?
Danganyeni wadanganyika, serikali ya kiki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wazanzibari wanapewa umeme free???
Wakati wenzao bila kujali kipimo kimesoma uko vizuri au la, wanakuweka karantini kwanza kama hutaki rudi ulikotokaSiyo hakugindulika. Alikuwa na dalili ila kipimo hakikuonesha ka.a anaumwa. Hivyo akaachiwa aende zake kama swala. Hapo ndio utakapoona hii nchi ni takataka. Then akaja kurudi yeye mwenyewe ndio walipotuma sample dar majibu yakarudi positive.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoma ilishatinga kitambo!
Inawezekana vipi kuwa mgonjwa tarehe 15 kapita uwanja wa ndege akiwa hana dalili yoyote na tarehe 16 ithibitishwe ana corona?!!!
Huyo mwanamke iweje atoke matembezi majuu atue saa 10 jioni KIA na kuishia hotelini badala ya kufikia kwake??!! Au alikuwa anasubiria saibaba ya saa nne yenye bei nafuu ili aendelee na safari?
Danganyeni wadanganyika, serikali ya kiki
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Television ya taifa bado inatangaza matangazo ya watoto muda huu...LolView attachment 1389930
Ndio maana nasema Kuna kila dalili mlungula ulitembea ili eti akaji isolate, stupid woman, unaacha kuji isolate ulipoutolea unakuja kuua watanzania wenzako si upuuzi huuHuyo mwanamke mjinga Sana..kaiepusha familia yake na Corona kwenda kuwaambukiza wengine hotelini. Iwish wizara ya watamfanyia uchunguzi coz navyofaham kabla hujaingia nchini Kuna declaration form mtu anatakiwa ajaze kuonyesha Hali ya Afya yake. Na uhakika hakujaza taarifa za kweli coz endapo angejaza ukweli lazima wangembakiza
Ila safari yote toka Arusha kwenda Moshi haina tija. Ni vizuri kuweka utaratibu wa matibabu kila Mkoa na Halmashauri. Sasa huko kuhama hama kutazidi kusambaza ugonjwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa unagundulika baada ya mda gani tangu kuingia mkuuKwani ugonjwa unatoa taarifa saa ya kuingia.? Huwenda alipata maambukizi ndani ya ndege au dalili kuonekana akiwa safarini.kilichotakiwa ni serikali kuwaweka wageni sehemu maalum kwa muda ili kuwabaini waathirika.
Kuwait Kuna joto zaidi ya Dar na corona ipo. Waza Tena Mara ya pili mkuuMimi nilihisi kuwa labda ni sababu Moshi kuna Joto Kali na Arusha kuna Baridi, na si unasikia kuwa Corona Viruse hawana ubavu Wa kuishi katika Joto Kali, Moshi Joto ni centigrade 32 na wako hawawezi kuishi katika note zaidi ya 20 c ,tunavyosikia. Je lina ukweli hili, wataalam tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Atimize wapi huyo wakati alitumia mbinu azijuazo kutuletea hili janga huku.Hii taarifa tunayopewa haikukamilika na i hope waandishi wetu wa habari hawatosikiliza tu na kuchapisha wanachoambiwa bila ya kuuliza masuali mengi tu.
Nashindwa kuelewa imekuwaje huyu mama ameweza kurudi nyumbani bila ya kuwa katika karantini ya siku 14 huko ubelgiji ilhali alishakuwepo mgonjwa katika nyuma alokuwa akikaa? Sheria/muongozo katika nchi zote za ulaya kwa sasa ni kuwa kila mgonjwa na kila ambae anajua kuwa amekuwa karibu na mgonjwa ni kujiweka katika self isolation kwa siku 14. Imekuwaje huyu akaweza kutoka nchini ubelgiji bila kukamilisha siku 14 za karantini? Haiingiii akilini kuwa mtu ambae ameshakuwa exposed na mgonjwa wa coronavirus ulaya aamue kuondoka huko bila ya kutimiza siku 14 za karantini na kwenda Africa. Zidharau huduma za afya Africa lakini nchi za ulaya na marekani wako mbele zaidi katika kupata solution ya ugonjwa huu na pia kuna huduma bora za wagonjwa wa ugonjwa huu kuliko afrika kwa kipindi hiki.
Ikiwa (ingawa siamini hata siku moja) kama alitimiza siku 14 za karantini kabla ya kupanda ndege kurudi huku Tanzania na still amejikuta amepata huu ugonjwa, itabidi serikali ya Tanzania iujulishe ulimwengu kuwa karantini ya siku 14 haisaidii kitu ili muda uongezwe.
Hii ndio JF kila mtu mwambaI have a lot to do and I have accomplished in life more than what you have!