Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Ok, mpaka waje wawapate huko waliko, CORONA itakuwa ishasambaa sana... tracing speed ni ndogo by far ukilinganisha na speed ya CORONA kueneaWanaweza ku-trace contacts wote, kuanzia kwenye ndege(walioshuka KIA) hadi alipojipeleka hospital
Unalinganisha Corona na chorela?Mgonjwa huyu tayari alisha contaminate environment na watu wa Arusha lakini watu wetu wakaona wampeleke Moshi na kufungua Quarantine/Isolation place hapo na sio Arusha alikokaa na watu kadhaa Hotelini kwa siku kadhaa, hivi mgonjwa wa Cholera huwa anahamishwa kutoka pale alipougulia?
Unalinganisha Corona na chorela?
Corona ni ugonjwa mpya hata vipimo vyake havipo kila sehemu. Hata huko China wagonjwa wanapelekwa hospitali maalum
Huenda Mawenzi ndiyo hospitali ya ukanda huo iliyotengwa kuwahudumia wenye ugonjwa huo. Ni sawa na mgonjwa Dar akipimwa Muhimbili na kufahamika ana ugonjwa huo atahamishiwa Mloganzila kwa kuwa ndiyo hospitali iliyotengwa kuwahudumia wagonjwa hao.Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.
Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwanini, wataalam watujuze
Hadi sasa mtu mmoja tu amebainika kuwa na ugonjwa huo nchini. Kuhifadhi hospitali ya karantini kila mkoa na kutoa vifaa vyote vinavyohusiana na karantini na matibabu ya ugonjwa huo itakuwa ni ubadhilifu wa nyenzo ambazo ni haba. Inatosha kuwa na hospitali chache zinazohudumia kanda yote.Haya ndiyo majibu simple ya Watanzania! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini tena ikiwezekana ziwe nyingi ndani ya mkoa mmoja na siyo mkoa fulani uhudumie mikoa mingi! Wewe unaona ni sahihi mkoa mmoja uwe na garentini moja kwa ajili ya kuhudumia mikoa mingi?!
Angehamishiwa Chato kwani vitu vingi kwa sasa vinahamishiwa huko.Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.
Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwanini, wataalam watujuze
Tena sio airport ya kwetu tu,hata kabla ya kupanda ndege kule si lazima apimwe,amewezaje kupenya huko kote na kuja kugundulikia kwetu?hawa wazungu sio wa kuwaamini sana,inawezekana waligundua ana maambukizi lakini wakaona wacha tu aende huko kwao akaupakaze...Mbona wanasema airport wanapima yeye alipitaje?
Airport Hamna kipimo cha cornov19 wanavipimo vya Kawaida Sana Kama temperature, kugundua kwa kawaida huenda hadi Siku 1-14.....USA wana Center 40. Kwa tz sidhani Kama vitafika 5Tena sio airport ya kwetu tu,hata kabla ya kupanda ndege kule si lazima apimwe,amewezaje kupenya huko kote na kuja kugundulikia kwetu?hawa wazungu sio wa kuwaamini sana,inawezekana waligundua ana maambukizi lakini wakaona wacha tu aende huko kwao akaupakaze...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wapo wengi inawezekana ila kwa sababu rangi nyeusi ni chronic basi sir God tusaidie hatuna namna
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao Rwanda waliopiga marufuku inakuwaje ndege zao zinakuja Tanzania? BTW huyo mgonjwa hakufika jana au juzi , Je, alikuja Tanzania lini kutoka nje?
Kwa serikali hii janga kuu kwao ni upinzani, hayo mengine wanaona ni upepo utapita tu. Kumbe ndio wanaziba shimo la panya kwa mkate.