Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Wanaweza ku-trace contacts wote, kuanzia kwenye ndege(walioshuka KIA) hadi alipojipeleka hospital
Ok, mpaka waje wawapate huko waliko, CORONA itakuwa ishasambaa sana... tracing speed ni ndogo by far ukilinganisha na speed ya CORONA kuenea
 
Mgonjwa huyu tayari alisha contaminate environment na watu wa Arusha lakini watu wetu wakaona wampeleke Moshi na kufungua Quarantine/Isolation place hapo na sio Arusha alikokaa na watu kadhaa Hotelini kwa siku kadhaa, hivi mgonjwa wa Cholera huwa anahamishwa kutoka pale alipougulia?
Unalinganisha Corona na chorela?
Corona ni ugonjwa mpya hata vipimo vyake havipo kila sehemu. Hata huko China wagonjwa wanapelekwa hospitali maalum
 
Unalinganisha Corona na chorela?
Corona ni ugonjwa mpya hata vipimo vyake havipo kila sehemu. Hata huko China wagonjwa wanapelekwa hospitali maalum

Cholera na Covid 19 zote ni Communicable diseases na control measures zake huwezi kutenganisha dunia mzima wanafuata basics za WHO
 
Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.

Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwanini, wataalam watujuze
Huenda Mawenzi ndiyo hospitali ya ukanda huo iliyotengwa kuwahudumia wenye ugonjwa huo. Ni sawa na mgonjwa Dar akipimwa Muhimbili na kufahamika ana ugonjwa huo atahamishiwa Mloganzila kwa kuwa ndiyo hospitali iliyotengwa kuwahudumia wagonjwa hao.
 
Haya ndiyo majibu simple ya Watanzania! Kila mkoa unatakiwa kuwa na garentini tena ikiwezekana ziwe nyingi ndani ya mkoa mmoja na siyo mkoa fulani uhudumie mikoa mingi! Wewe unaona ni sahihi mkoa mmoja uwe na garentini moja kwa ajili ya kuhudumia mikoa mingi?!
Hadi sasa mtu mmoja tu amebainika kuwa na ugonjwa huo nchini. Kuhifadhi hospitali ya karantini kila mkoa na kutoa vifaa vyote vinavyohusiana na karantini na matibabu ya ugonjwa huo itakuwa ni ubadhilifu wa nyenzo ambazo ni haba. Inatosha kuwa na hospitali chache zinazohudumia kanda yote.
 
Taarifa za habari zimethibitisha kuwa kuna mgonjwa mmoja wa korona mwanamke Wa miaka 46 aliyesafiri kutoka Ubeligiji kuja Tz kupitia Kia.

Mwanamke huyu alilazwa katika hospitality ya Mount Meru lakini ghafla alihamishwa na kupelekwa Mawenzi Moshi, je ni kwanini, wataalam watujuze
Angehamishiwa Chato kwani vitu vingi kwa sasa vinahamishiwa huko.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wanasema airport wanapima yeye alipitaje?
Tena sio airport ya kwetu tu,hata kabla ya kupanda ndege kule si lazima apimwe,amewezaje kupenya huko kote na kuja kugundulikia kwetu?hawa wazungu sio wa kuwaamini sana,inawezekana waligundua ana maambukizi lakini wakaona wacha tu aende huko kwao akaupakaze...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo tu hata kuozea jela kitu kamahilo likipaswa lirudishwe huko liliko toka kuzurura,inakera Sana jamani,nidhahiri nimakusudi kafanya na alijijua mgonjwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhadhani km Imeletwa makusudi kwa kujua...
Haikua na haja ya kufanya hivyo...
Maana Ilikua ni suala la mda tuu....

Kikubwa ni uzembe
IMG-20200317-WA0002.jpeg

Kati ya nchi ambayo Corona tumeipata kizembe basi ni sisi....

Tulizawadiwa mda wa kutosha wa kujifunza na kuchukua hatua.......

Tungefunga mipaka mapema......!
Tungezuia wageni wapya kuzagaa mtaani.....!
Tungesambaza vifaa vya kujikinga mapema...!
Ndani ya Siku moja tu Mask na Alcohol Sternizer zishakua adimu.
Tungesambaza vifaa tiba Mapema...! km bado test zinafanyika Dar... Kazi tunayo.

Lakin bado utaona ni matamko ya kimhemko na vitisho yakijaaa....
 
Tatizo hapo siyo serikali,tatizo ni mgonjwa mwenyewe kafanya makusudi tudijidai kukinga kifua hata kwa mambo ya msingi jamani,katka halihii ya hatari ya hiligonjwa na mtu unsjijua wazi uliishi na mgonjwa then unapanda ndege na unakuja kujifungua huku?kwanini usisubiri huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena sio airport ya kwetu tu,hata kabla ya kupanda ndege kule si lazima apimwe,amewezaje kupenya huko kote na kuja kugundulikia kwetu?hawa wazungu sio wa kuwaamini sana,inawezekana waligundua ana maambukizi lakini wakaona wacha tu aende huko kwao akaupakaze...

Sent using Jamii Forums mobile app
Airport Hamna kipimo cha cornov19 wanavipimo vya Kawaida Sana Kama temperature, kugundua kwa kawaida huenda hadi Siku 1-14.....USA wana Center 40. Kwa tz sidhani Kama vitafika 5

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgonjwa kafika Tanzania tarehe 15 jioni mwenyewe akajiweka karantini na baadae akajipeleka hospitali ndio kupimwa anakutwa na ugonjwa. Suala la kuruhusu ndege ziendelee kuingia bado hatuelewi serikali bado imeshupaza shingo.
Hao Rwanda waliopiga marufuku inakuwaje ndege zao zinakuja Tanzania? BTW huyo mgonjwa hakufika jana au juzi , Je, alikuja Tanzania lini kutoka nje?
 
Back
Top Bottom