Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,512
- 6,882
Huyo mama anatupenda sana watanzania kwa kujifanyia safe isolation kiukweli anastahili kupewa tuzo kubwa sana kwa kuokoa mamia kama sio maelfu ya watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuone kama kweli kutakuwa na mikutano huo mwezi wa nne,
Kamanda Mbowe keshatangaza mikutano ya hadhara nchi nzima, duh.
Uenda Viongozi wengine walikua na mawazo ya Kuchukua tahadhari Mapema ila kama unavyojua MPAKA MKULU ASEMEKatika nchi ambayo watu watakufa Kama nzige Ni Tanzania, maana Tanzania ilikuwa na nafasi ya kuchukua hatua mapema kwa kuzuia safari za watu kutoka na kuingia Ila walipuuzia, Sasa wacha ituonyeshe makali
Hongera sana kwa kuwa na moyo wa kuitazama hiyo tvTelevision ya taifa bado inatangaza matangazo ya watoto muda huu...LolView attachment 1389930
Sijui.Vipi CCM mtasimamisha au mnaendelea mfe
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]I cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuninikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
Tuwafungie hata watanzania walionje ya nchi? Nimeenda Malawi muda wa kukaa umeisha hivyo nibaki Malawi?Tuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
Ndiyo hapo sasa nchi zoote za east African walisha piga marufuku tukabakia sisi kukusanya wataliiWengine walikuwa wanapiga marufuku watu kuingia nchi zao.
Sisi tunaleta ujuaji.
Imekula kwenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 kivipi mkuu? Wengi hatuipendi hiyo ccm kama Corona itasaidia, poa.Bora labda ccm itaacha kutuonea
Pole sana mkuu... Ndio maishaI cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuninikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
Bora labda CCM itaacha kutuonea
Ngoja virusi viingie hapo ufipa, ndio mtatafutana na hivyo vijimikutano vyenu vya hadhara.Ingeanza na wao kwanza
In God we Trust