Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Katika nchi ambayo watu watakufa Kama nzige Ni Tanzania, maana Tanzania ilikuwa na nafasi ya kuchukua hatua mapema kwa kuzuia safari za watu kutoka na kuingia Ila walipuuzia, Sasa wacha ituonyeshe makali
Uenda Viongozi wengine walikua na mawazo ya Kuchukua tahadhari Mapema ila kama unavyojua MPAKA MKULU ASEME
 
Kumbe watu mko waoga eeh 🤣

Majuzi hapa kuna watu walikuwa wanajidai eti corona ni mafua tu.

Sasa hivi washaanza kujiharishia baada ya kusikia kirusi kishatia timu.

Kwanza si ajabu kilikuwepo muda wote tu ila watu hawajui.
 
Tuliposema nchi ifunge mipaka tulikuwa tunaonekana wapuuzi.
Fungeni Mipaka yote.
Bado hatujachelewa.
Bora tukose hela za utalii nk lakini tuwe salama.
Nyakati ngumu hazidumu milele
Tuwafungie hata watanzania walionje ya nchi? Nimeenda Malawi muda wa kukaa umeisha hivyo nibaki Malawi?
 
Back
Top Bottom