Mandinga
Member
- Mar 6, 2020
- 35
- 45
Mzaha si mzaha?Mshaurini binti huyu anapotangaza suala serious kama hili her body language should indicate so kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mzaa afanye nje ya kamera na pale waandishi wasipokuwepo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzaha si mzaha?Mshaurini binti huyu anapotangaza suala serious kama hili her body language should indicate so kuanzia mwanzo hadi mwisho. Mzaa afanye nje ya kamera na pale waandishi wasipokuwepo.
wewe nawe siasa imekukaa hadi kwenye mambo ya kuogofya bure kabisaBora labda CCM itaacha kutuonea
Ujinga wewe kila mahala ni siasa tu. Au nimtafuta fursaBora labda CCM itaacha kutuonea
wewe nawe siasa imekukaa hadi kwenye mambo ya kuogofya bure kabisa
Sawa jiniaz
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I cant believe maisha yote nimesikiliza nasaha za mama za kutokujihusisha na uhuni nisuje nikapata HIV. Halafu leo nakuja kufa kwa mafua. That's not fair
Hebu tusihamishe magoli hapa, kuna watu wanapaswa wawajibike, huyo mgonjwa aliingia na hakuwekwa karantini, kama angekaa karantini tusingekuwa tunamzungumzia leo. Watu wanafanya kazi kwa mazoea, uongozi wa airport uwajibike, waziri wa afya awajibike.