Ummy mwalimu anasema bahati nzuri corona haikuanzia kwetu.sijui ana maana gani. Kwani italy imeanza kwao au china imeanza kwao hakuna nchi corona imeanza kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
There is a difference between worry and concern.
Most of you are worried about corona which does not help anything( ndo maana mmekazana kusema tutakufa kama nzige instead of bring the solution ,mnabaki mnatukanana tu kwenye huu uzi)
Being concerned is understanding something is there and taking proper measures .nahic tumeelewana genius
Sent using Jamii Forums mobile app
Mortality rate < 6%Kulingana na report zinazoaminika ni wanaopona nchi nyingine zinazoaminika na data zao ni wachache kuliko wanaokufa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasikitika kwenye magari, daladala,sokoni watu walivyojaa, mashuleni wanafunz wanavyoshare vitu. Tz ukienea utaenea kwelikweli.
Jamaa bana unachekesha sana eti umekuzwa hahaha yaani full TAAHIRA kabisa wazungu ambao kwao dawa za kutibu magonjwa kibao wanazo ila huu wamekosa dawa na mpaka sasa na utaalamu wote walionao wamekosa dawa wewe unasema wameukuza sababu eti wana vyombo vya kutangaza nikuulize NBA imefungwa EPL imefungwa michezo yote duniani haipo kila sehemu wanafunga hivi kwa AKILI YAKO unahisi wao wanapenda kufanya hivi?kuona uchumi unashuka na wazushe kwa lipi hasa?kama unakuja then unaandika pumba kama hizi basi nakuona ni TAAHIRALeo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.
Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.
Huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake. Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua.
Chukua tahadhari, ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu kama Neumonia haitakuwepo hapo
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
Someone might need thisJamaa bana unachekesha sana eti umekuzwa hahaha yaani full TAAHIRA kabisa wazungu ambao kwao dawa za kutibu magonjwa kibao wanazo ila huu wamekosa dawa na mpaka sasa na utaalamu wote walionao wamekosa dawa wewe unasema wameukuza sababu eti wana vyombo vya kutangaza nikuulize NBA imefungwa EPL imefungwa michezo yote duniani haipo kila sehemu wanafunga hivi kwa AKILI YAKO unahisi wao wanapenda kufanya hivi?kuona uchumi unashuka na wazushe kwa lipi hasa?kama unakuja then unaandika pumba kama hizi basi nakuona ni TAAHIRA
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani kumbe kilichompeleka huko ni kusalimia rafiki tu???!!!, hakuweza kusubiri hili janga lipite kwanza? Hivi anawazimu huyo mtu?Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.
Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.
Huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake. Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua.
Chukua tahadhari, ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu kama Neumonia haitakuwepo hapo
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,

Huyu mwanamke atakuwa na wazimu au IQ yake ipo chini sana.Yaani kumbe kilichompeleka huko ni kusalimia rafiki tu???!!!, hakuweza kusubiri hili janga lipite kwanza? Hivi anawazimu huyo mtu?
Huyu jamaa ni chizi kabisa sio mzima we maelfu ya watu wamepoteza maisha yeye anakuja kuongea upupu kama huuJamaa bana unachekesha sana eti umekuzwa hahaha yaani full TAAHIRA kabisa wazungu ambao kwao dawa za kutibu magonjwa kibao wanazo ila huu wamekosa dawa na mpaka sasa na utaalamu wote walionao wamekosa dawa wewe unasema wameukuza sababu eti wana vyombo vya kutangaza nikuulize NBA imefungwa EPL imefungwa michezo yote duniani haipo kila sehemu wanafunga hivi kwa AKILI YAKO unahisi wao wanapenda kufanya hivi?kuona uchumi unashuka na wazushe kwa lipi hasa?kama unakuja then unaandika pumba kama hizi basi nakuona ni TAAHIRA
Sent using Jamii Forums mobile app