Corona Virus: Tanzania yathibitisha kuwa na mgonjwa wa kwanza, ni raia wa Tanzania, aliwasili kutoka Ubelgiji

Kulingana na report zinazoaminika ni wanaopona nchi nyingine zinazoaminika na data zao ni wachache kuliko wanaokufa
There is a difference between worry and concern.
Most of you are worried about corona which does not help anything( ndo maana mmekazana kusema tutakufa kama nzige instead of bring the solution ,mnabaki mnatukanana tu kwenye huu uzi)
Being concerned is understanding something is there and taking proper measures .nahic tumeelewana genius

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.

Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.

Huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake. Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua.

Chukua tahadhari, ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu kama Neumonia haitakuwepo hapo
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
 
Kulingana na report zinazoaminika ni wanaopona nchi nyingine zinazoaminika na data zao ni wachache kuliko wanaokufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mortality rate < 6%
Wakiugua 100 wanaokufa ni 3 to 5 tena kwa uzembe wa kutowahi kutibu Neumonia, Haya mafua jamani yamekuzwa mno. Tulikuwa nao muda mrefu huku ila sisi hatukuwa na popular media za kuutangazia ulimwengu
 
Yani kipindi cha outbreak anaenda kusalimia family friends[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wanawake akili zao wanazijua wenyewe. lembu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikitika kwenye magari, daladala,sokoni watu walivyojaa, mashuleni wanafunz wanavyoshare vitu. Tz ukienea utaenea kwelikweli.

Hawa watoto ndio mtihani sana Allah awakinge mimi binafsi wa kwangu nimezuia kwanza wasiende huku kaskazini kuna mambo mengi sana. Kuna jirani yangu tour guide anapandisha watalii mlimani huko wawashusha wagonjwa usiku wamezidiwa sasa sijui wanaumwa nini yaani siri zimejaa
 
Tetesi, Mmoja agundulika na Corona uwanja wa ndege Mwanza, raia wa Philippines, expatriate katika Mmoja wa migodi yetu.
 
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.

Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.

Huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake. Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua.

Chukua tahadhari, ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu kama Neumonia haitakuwepo hapo
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
Jamaa bana unachekesha sana eti umekuzwa hahaha yaani full TAAHIRA kabisa wazungu ambao kwao dawa za kutibu magonjwa kibao wanazo ila huu wamekosa dawa na mpaka sasa na utaalamu wote walionao wamekosa dawa wewe unasema wameukuza sababu eti wana vyombo vya kutangaza nikuulize NBA imefungwa EPL imefungwa michezo yote duniani haipo kila sehemu wanafunga hivi kwa AKILI YAKO unahisi wao wanapenda kufanya hivi?kuona uchumi unashuka na wazushe kwa lipi hasa?kama unakuja then unaandika pumba kama hizi basi nakuona ni TAAHIRA

Someone might need this
IMG-20200317-WA0000.jpeg
IMG-20200317-WA0001.jpeg
IMG-20200317-WA0002.jpeg
IMG-20200317-WA0003.jpeg
IMG-20200317-WA0004.jpeg
IMG-20200317-WA0005.jpeg
IMG-20200317-WA0007.jpeg
IMG-20200317-WA0008.jpeg
IMG-20200317-WA0009.jpeg
IMG-20200317-WA0010.jpeg
IMG-20200317-WA0011.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.

Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.

Huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake. Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua.

Chukua tahadhari, ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu kama Neumonia haitakuwepo hapo
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa
Yaani kumbe kilichompeleka huko ni kusalimia rafiki tu???!!!, hakuweza kusubiri hili janga lipite kwanza? Hivi anawazimu huyo mtu?
 
Leo asubuhi nimegundua kuwa mgonjwa wa Corona wa Mount Meru ni Rafiki yangu wa karibu,
Alitoka nje kutembelea family friend kumbe baba wa hiyo familia alikuwa na virusi.

Anadai alihisi ameupata tangu akiwa kwenye ndege na alipofika Arusha alienda hotelini moja kwa moja wala hakutaka kwenda kwake na ni karibu tu hapa mjini. Asubuhi ya jana akaamua kujipeleka Mt. Meru Hospital kupimwa na ndipo wakamkuta ana virusi.

Huu ugonjwa umekuzwa sana kwa sababu yeye anajisikia vizuri anachosubiri ni hayo mafua yaishe ili arudi nyumbani kwake. Watanzania tusihofu haya ni mafua ya kawaida lakini yanashambulia mapafu na kusababisha Neumonia na sio kwa watu wote, ni baadhi, wachache tu wanapata Neumonia na akichelewa kutibiwa anaweza fariki kwa sababu Neumonia inaua.

Chukua tahadhari, ukijisikia una dalili za hayo mafua, nenda ukapimwe na utibiwe Neumonia kama imekuingia, otherwise huu ni ugonjwa wa mafua ya kawaida tu kama Neumonia haitakuwepo hapo
Imekuzwa sana kwa sababu imepitia kwa wazungu wenye rich media za kuutangazia ulimwengu mzima
Ninahisi pia kuna kamchezo nyuma ya pazia inachezwa na hao wakubwa

Yani kumbe safari hata sio ya muhimu, yani waTanzania tuna vichwa vigumu. Yani mtu anaona kuna ugonjwa dunia nzima halafu eti anasafiri for leisure.
 
Jamaa bana unachekesha sana eti umekuzwa hahaha yaani full TAAHIRA kabisa wazungu ambao kwao dawa za kutibu magonjwa kibao wanazo ila huu wamekosa dawa na mpaka sasa na utaalamu wote walionao wamekosa dawa wewe unasema wameukuza sababu eti wana vyombo vya kutangaza nikuulize NBA imefungwa EPL imefungwa michezo yote duniani haipo kila sehemu wanafunga hivi kwa AKILI YAKO unahisi wao wanapenda kufanya hivi?kuona uchumi unashuka na wazushe kwa lipi hasa?kama unakuja then unaandika pumba kama hizi basi nakuona ni TAAHIRA

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa ni chizi kabisa sio mzima we maelfu ya watu wamepoteza maisha yeye anakuja kuongea upupu kama huu
 
Update hapa Arusha ni kuwa idadi kubwa ya watu wanavaa mask 🎭 kwa sasa, na hata vijana wa boda boda wengi wao nimewaona wamevaa mask.
 
Back
Top Bottom