kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 18,833
- 23,276
Nyuzi za ajabu kama hizi Mods huwa mnaziacha zina trend tuNawamba watanzania tukubalie tuu, uchaguzi wa urais, usiwepo, ila uchaguzi wabunge na madiwani ufanyike mwakani kwenye majimbo na kata zao tuu. Anaye afiki aseme NDIYO na asie Afiki aseme HAPANA. Pigeni kura hapa:
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda aendelee nyumbani kwenu "yule" akae pembeni, siyo Tanzania, tutafuata katiba inaemajeNawamba watanzania tukubalie tuu, uchaguzi wa urais, usiwepo, ila uchaguzi wabunge na madiwani ufanyike mwakani kwenye majimbo na kata zao tuu. Anaye afiki aseme NDIYO na asie Afiki aseme HAPANA. Pigeni kura hapa:
Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli atawale milele, Magufuli kaishinda korona, kawashinda mabeberu πππππππππππππππππππ atawale milele, mtukufu rais, kaleta nyungu, kaokota vichwa vya matreni, kaleta msamiati was makinikia....
Kwa maana hiyo uchaguzi ufanyike da'slam tuu na maeneo yenye joto kama pwani na maeneo mengine kama hayo?Tabutupu,
Mda wote mnawaza Corona tu, nani kakwambia corona inaenea kila mahali, huyo kirusi ni kiumbe kama wewe ili aishi anategemea hali joto, anaenea nchi za baridi kipindi cha baridi kali lkn kwenye maeneo yenye joto hawezi kuishi. Kwa hiyo achana na hayo mawazo yako.