Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Labda tu athari zake zinakua zimedhibitiwa na kinga ya mwili ndo maana ya kupona......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapa sawa mkuuLabda tu athari zake zinakua zimedhibitiwa na kinga ya mwili ndo maana ya kupona......
Kwani mafua yanaponaje?
Huwezi ku generalize kihivyo , ni kuwa wanaonyesha sifa zote mbili ya hai(kwa kujizalisha) akiwa ndani ya host cell na kutokuwa hai kwa kuweza kubaki kwenye inactive state akiwa nje ya host cellVirus hafi simply kwasababu hayupo hai in the first place.
Haviishi ni kuwa mwili wako unaweka condition ya kuvifanya either visiongezeke kusababisha madhari au visifanye kazi kabisaElimu hiyo hiyo, mwl WANGU wa Sayansi alinifundisha virusi havifi ndo maana havina dawa.
Kupona kwa mgonjwa aliye na virusi ni pale virusi hivyo vinapokuwa vimepevuka vinaisha.( Mafua)
huu nao ni ujinga, maana haumsaidii mjinga
Mimi mwenyewe mgeni chief.Hivi mafua yanaletwa na virus au bacteria mimi hata sijui nawaza tu baada ya stress kuoccupy mwili na ubongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
So ume admit kuwa virus hayupo hai in the first place?Huwezi ku generalize kihivyo , ni kuwa wanaonyesha sifa zote mbili ya hai(kwa kujizalisha) akiwa ndani ya host cell na kutokuwa hai kwa kuweza kubaki kwenye inactive state akiwa nje ya host cell
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani hii nchi imejaa tafarani..😂😂😂