#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Mimi mwenyw na mafua toka utoton.
Sometime napig chfya nahisi pua zinataka kuchumoka.

Hapa nipo najiuliza sisi weny mafua corona ikitupata ndio tunakua na hali mbaya?



Beggars can't be choosers
 
Wengine kuanzia wadogo hatupatani na vumbi au harufu kali za marashi, hali iliyosababisha kushikwa na mafua kila wakati...nashangaa kwa sasa ukipga ata chafya watu wanakutenga
Na ukipita kwenye uchocho wanaweza kukupoteza hasa kijijini, inabidi kuwa makini sana maana yaliyotokea lesya siyo ya kupuuza! Ujipishe uchocho kijijini na chafya zako na huku ukikohoa, kama hawatakukimbia basi ujiandaae!
 
Jazia nyama mkuu tudadavulie zaidi
Nilikuwa kwenye basi nikielekea mikoa ya kaskazini, ndani kuna jamaa alikuwa anapiga chafya muda mfupi baada ya kupanda na basi iliwashwa AC.

Baadaye jamaa aliyekaa naye akamind kwa konda ambadidilishe kiti maana jamaa anapiga sana chafya.

Yule jamaa akasema anaathiliwa na AC so aondoe hofu, lakini abilia walipoanza .zogo jamaa akasema abilia wote washuke ili yeye asafilishwe mwenyewe /hahahaaaaa) sababu ya kunyanyapaliwa kuwa na corona.
 
Ni balaa mm mwenyewe sipatani na harufu za manukato, mafuta Kama diseli, taa petrol na oil.

Vumbi ndo balaa kabisa

Chumba kikiwa na hewa kidogo Ni balaa kwangu mafua kwenda mbele.

Moshi wa takataka zinazochomwa ndo usiseme kwangu mafua kwenda mbele.

Nashukuru ulimi wangu huwa kama alert juu ya mazingira Kama haya maana ulimi huwa unawasha kunikumbusha mahali nilipo si salama.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao washangaa ambulance ndo tunabaniwa pua humu na ngonjera za akili kubwa mara ndo jamii iliyoelimika!

"Pride is the mother of arrogance"
 
Serikali imewataka wakazi wa Moshi kukimbilia magari ya wagonjwa yaendayo Mawenzi kwa lengo la kuwashuhudia wagonjwa wa Corona.

Mratibu wa maabara Bi Tedy Msaki amewataka wananchi hao kuwa makini na afya zao na waache utoto wa kukimbilia ambulance.

Source ITV habari.
Waacheni HAO WA KISHUMUNDU, kwani wakifa si wao, ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom