#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
1584702663651.png


Dawa za kukabiliana na virusi zimependekezwa na watafiti kutoka Chuo kikuu cha Ural Federal, Urusi kuwatibu wagonjwa wenye virusi vya corona
 
Mtoa mada akili yako mbona kama ya lipumba?!
Kichwa cha habar kina ujumbe mwingine,

Maelezo ya mada mengine!
Kwahiyo unamwelewa mrusi kwa "kupendekeza tu"?
 
Apo naona dalili je hasara zipoje? I mean effects of corona japo najua kubwa ni kifo je napenda uliza ukiumwa korona utakufa tu au kupona kipi kipo kwa hali ya juu maana nakumbuka china mtu alikua akiumwa anadondoka na kufa whats the status now kama kuna mjuzi please nitafrai nikipata majibu yangu😷
 
Wakuu,

Huyu mzee wetu angekua hai leo maskini tusingevaa magazeti kama mask angeshaita watu kibao na mask tungevaa za bure. Huyu ndio tajiri ambae alikua mtanzania halisi mwenye msaada.

Waliobaki wengine ndio kwanza wamejikausha tunasubiri tamko lolote holaa wapo wapo tu sijui wanawaza nini?

Au hawaoni kama koroma ishafika na wanatakiwa kutulinda afya zetu sijui wakoje?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kumtegemea mwanaume mwenzio akutimizie mahitaji yako ni moja ya ulemavu wa kufikiri na kushindwa kujiamuria future ya maisha yako mwenyewe.

Fanya kila uwezalo kujijengea future na msingi imara wa maisha yako pasipo kumtegemea mtu mwingine ili kuepuka fedhea ya kuwa ombaomba wa baadae au mtegemea misaada ya wanaume kwani mtegemea cha nduguye, hufa maskini.
 
Kufuatia habari za kuwepo kwa mlipuko wa ugonjwa wa korona kumetokea na baadhi ya watu wanaoamua kujitenga wenyewe kwa madai ya kuwa na wasiwasi na hali yao ya kiafya, huku wakijihisi kuwa na korona.

Watu hawa ambao wanaonekana kuongezeka wamefika mbali zaidi kiasi wengine kudai hawataki hata watu wengine wayajue hayo "maficho" yao .

Je watu hawa wanaudhibiti gani wa kuhakikisha hawaambukizi watu wengine huko mafichoni kama ni kweli wameathirika?
Screenshot_2020-03-20-20-33-53.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom