#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Utafikiri ndio tumeanza kufikia mafua juzi! Waafrika tuache upumbavuu, mafua ya wazungu haya wacha yawanyooshe! Elimu iendekee tu kutolewa kwamba watu wazingatie usafi!
 
Ukweli ni kuwa mpaka sasa hakuna ushahidi wowote wa kisayansi kuthibitisha kuwa sisi waafrika mili yetu ina immune ya kutosha kuakbaliana na covid-19 ukilinganisha na watu katika mabara mengine(watu weupe).

Japo ushahidi huo hakuna na licha ya Shirika la Afya Duniani kuonya kuwa huenda Afrika ikaathirika zaidi na ugonjwa huu,mpaka sasa ushahidi wa kimazungira unaonyesha ni watu weupe ndio wanaathirika zaidi na ugonjwa huu kuliko sisi watu weusi(Waafrika).

Kwa mfano,mpaka sasa kiwango cha maambukizi barani Afrika kiko chini huku idadi ya vifo ikiwa ni ndogo sana kulinganisha na Ulaya,Marekani na Asia.

Swali langu ni je,kwakuwa ugonjwa huu umeshaingia Afrika,hakuna uwezekano wa vijidudu hivi kujibadilisha na kuwa hatari zaidi na hivyo kuweza kutuathiri na sisi watu weusi kama inavyotokea sasa huko Ulaya na Marekani?

Tukumbuke Covid-19 waliopatikana nchini Hispania wanaelezewa ku-mutate kutoka kwa wale original virus wa huko China katika jimbo wa Wuhan ulikoanzia ugonjwa huu kama inavyoelezwa katika makala hii hapa chini:

Coranavirus: Spanish Covid-19 has mutated from original virus

Huu ni wakati wa kupeana elimu juu ya gonjwa hili hivyo wataalamu mliomo humu tunaomba mtusaidie/mtuelimieshe sisi wengine.
 
Kwenye dunia hii ya mauzauza lolote linawezekana, kama wamefanya hivyo huko Australia why not in Africa.

Kikubwa dua!
 
Duh.. nakumbuka ukimwi ulivyotutesa waafrika mpaka ikawa kama curse.
 
HIV/AIDS ilianza Marekani mwanzo mwa 1980s, Afrika tulisema ugonjwa wa Wazungu. Ulipoaanza hapa tukasema ni kama mafua tu haya. Wengine hata wasomi wakasema ati ajali kazini.Hata ikafikia kusema wanaokufa wazungu, sisi hatupati.

The bad news, Africa hadi leo ndiyo hoi kwa ukimwi. It is up to you, lack of education and seriousness is killing Africa. Low IQ??
 
Naomba niulize maswali machache mdau
1.kwann inashairiwa usishike pua.mdomo.macho na uso?

2.ke kunuwa pombe alcoholic drink kunaweza kuua vimelea ambavyo vipo kwene mate na mfumo wa juu wa chakula?

3 je kuvaa gloves na barakoa ni muhimu sn maana swala la kunawa mikono kila wakati ni changamoto na kugusana ktk usafir wa umma apa dar ni lazima itake usitake?

4.naomba kujua virusi hv vya corona vilizaliwaje creation maana kwa wanyama uliotaja apo juu popo na ngamia wapo toka enzi ma enzi na corona haikuwepo?

Yangu ni ayo tu natanguliza shukran za dhati kwa uzi mzuri nimejifunza kitu
 
tangu corona itokee kumekuwa na tabia za watu
Kujifanya kutokea kwenye vimedia na kudai Wana corona....
Naomba au itakuwa vizuri pia kama ikitokea watu/mtu ameambukizwa ama amekutwa na virusi vya ukimwi aka ngoma nao wajitangaze hivyo hivyo......
Huwa najiuliza mbona wabongo wakiwapata ukimwi hawajitangazi hivyooo ila kwenye corona
Haoooo faster kwnye mediaaaaa????

Uzi tayari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikia wanasema Corona haimpati mtu asiye na passport mpya ya electronic
😂
 
tangu corona itokee kumekuwa na tabia za watu
Kujifanya kutokea kwenye vimedia na kudai Wana corona....
Naomba au itakuwa vizuri pia kama ikitokea watu/mtu ameambukizwa ama amekutwa na virusi vya ukimwi aka ngoma nao wajitangaze hivyo hivyo......
Huwa najiuliza mbona wabongo wakiwapata ukimwi hawajitangazi hivyooo ila kwenye corona
Haoooo faster kwnye mediaaaaa????

Uzi tayari

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
Isabela
Mwana FA
wametumwa kujitangaza ili nchi ipate msaada wa kupambana na COVID-19 na hizo fedha zielekezwe kupambana na wapinzaninmaana zile za mabeberu ZITTO alisha zizuia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom