Alafu naona asilimia kubwa ya watu wana mafua sana,hata mwezi ule wa pili yaliwashika wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na ukipita kwenye uchocho wanaweza kukupoteza hasa kijijini, inabidi kuwa makini sana maana yaliyotokea lesya siyo ya kupuuza! Ujipishe uchocho kijijini na chafya zako na huku ukikohoa, kama hawatakukimbia basi ujiandaae!Wengine kuanzia wadogo hatupatani na vumbi au harufu kali za marashi, hali iliyosababisha kushikwa na mafua kila wakati...nashangaa kwa sasa ukipga ata chafya watu wanakutenga
Nilikuwa kwenye basi nikielekea mikoa ya kaskazini, ndani kuna jamaa alikuwa anapiga chafya muda mfupi baada ya kupanda na basi iliwashwa AC.Jazia nyama mkuu tudadavulie zaidi
Hapo ndo ushangae sasa utakuta unaambiwa shule zilianza siku nyingi huko Kabla ya Shy!Sijajua wananchi wa Moshi wana tatizo gani maana shule ziko za kutosha!
Hapo ndo ushangae sasa utakuta unaambiwa shule zilianza siku nyingi huko Kabla ya Shy!
Hapo ndo ushangae sasa utakuta unaambiwa shule zilianza siku nyingi huko Kabla ya Shy!
Waacheni HAO WA KISHUMUNDU, kwani wakifa si wao, ?Serikali imewataka wakazi wa Moshi kukimbilia magari ya wagonjwa yaendayo Mawenzi kwa lengo la kuwashuhudia wagonjwa wa Corona.
Mratibu wa maabara Bi Tedy Msaki amewataka wananchi hao kuwa makini na afya zao na waache utoto wa kukimbilia ambulance.
Source ITV habari.
Ahsante bwashee nimerekebisha!"]Serikali imewataka wakazi wa Moshi kukimbilia magari ya wagonjwa yaendayo Mawenzi kwa lengo la kuwashuhudia wagonjwa wa Corona"
Bwashe tuliza wenge,halafu uwache kiherehere..soma tena ulichopost
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutapoteza wapiga kura!Waacheni HAO WA KISHUMUNDU, kwani wakifa si wao, ?
wewe ni mkazi wa Moshi?Tutapoteza wapiga kura!
Mimi ni mkazi wa Kihesa bwashee!wewe ni mkazi wa Moshi?
Wa kishumundu ni wapiga kura?
Kishumundu wamewahi toa mbunge ?tunawaheshimu wanaongoza kwa kutoa majaji tu,
Okay, wasalimie vijana wa Tumaini university na RUCO, waambie ngono haiwasaidii kitu na mambo ya kuwekana gheto watapata corona.Mimi ni mkazi wa Kihesa bwashee!