Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingawa Corona ni janga lenye hofu but kitu nimekipenda imeweza kufundisha watu on self hygiene!
Nimekua nikiona watu wakitoka chooni bila kunawa,wakipenga bila kunawa!muhudumu wa chakula anavhart na simu hanawi anashika chakula!au kujikuna na kuchokonoa pua!!
In another way hili ni fundisho for self hygiene!!jamii imejifunza!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wape medical masks kama unazo au wape ushauri kutokana na uwezo wao.Yaani huu ugonjwa wa hatari namna hii lakini mtu bado anafanya masihara?
Sasa hiyo ni nini alichovaa?
Tuweni majini jamni! Leo nimeshuhudia baadhi ya watu wamejifunga vitambaa usoni, wengine wamevaa vitambaa vya kuogea, Sasa nauliza huu ni ujanja, au ujinga ?
Na wanafanya kwa kujua au kutojua? View attachment 1392025
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe sonara ndio washonaji ee.Wape medical masks kama unazo au wape ushauri kutokana na uwezo wao.
Mie nawashauri washone masks za kitambaa na wawe wanaosha kwa maji ya moto kila siku baada ya kutumia. Wawe nazo kama tatu kwa siku
Fundi sonara tengenezi masks za vitambaa
Serikali inachukua hatua mbalimbali!Hii yote ni nini?dawa si kuzuia ndege kuja nchini na kufunga mipaka?
Sent using Jamii Forums mobile app