#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Acha kudanganya watu. Ndo maana mungu ametupa akili ili tuzitumie kwa kuishi. Maombi yana nafasi zake na hatua za kisayansi pia zina nafasi yake. Jifunze kubalance mambo
 
Ingawa Corona ni janga lenye hofu but kitu nimekipenda imeweza kufundisha watu on self hygiene!
Nimekua nikiona watu wakitoka chooni bila kunawa,wakipenga bila kunawa!muhudumu wa chakula anavhart na simu hanawi anashika chakula!au kujikuna na kuchokonoa pua!!
In another way hili ni fundisho for self hygiene!!jamii imejifunza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello JF,

Kwanza mosi, naomba niwe mkweli, sijafuatilia sana huu ugonjwa kiundani, ila ni janga kubwa.

Na kila mmoja yuko concerned. Hasa ukifikiria umeshaingia tayari Tanzania.

Tukifikiria mifumo yetu ya usafiri: Mwendo kasi, daladala, kila mtu anasisimuka itakuwaje akifikiria hizo scenario.

Mimi pia nimefikiria. Nikaona tusali tu!.lol

Lakini kijuu juu hatuwezi ku-control rate ya wanaoambukizwa.

Na number ya walioambukizwa inaweza isijejulikana for a certain, vifaa vya kupima ni vichache (Dar tu kwa sasa ndio kipo) lakini tunaweza kupunguza death toll.

Huu ugonjwa wanaokufa ni watu wenye pre-existing conditions na wenye low immunity.

Hivyo kuli approach libwana in different angle is to BOOST IMMUNITY. Hasa ya wale VULNERABLE GROUPS (wazee na wagonjwa mfano wa kusukari).

Mimi naona ipigwe kampeni, BECKY 'S IMMUNITY BOOST CAMPAIGN 🤣 🤣 🤣 Watu wale zaidi vyakula vinavyo boost immunity, kama garlic (vitunguu swaumu) na machungwa etc (Hapa madaktari mtashauri watu wale nini, nawakaribisha madaktari kwa maoni)

Kuna vile vidonge pia vya ku boost immunity, sijui kama uko vipo? kama vipo itapendeza labda visiwekewe kodi, viwe cheap watu wanywe.

Hatuwezi kuzuia maambukizi ya huu ugonjwa ila TUNAWEZA kuu FIGHT tukiupata...yesssssssssssssss ☑☑☑☑☑☑☑🤛🤛🤛
 
Yaani huu ugonjwa wa hatari namna hii lakini mtu bado anafanya masihara?

Sasa hiyo ni nini alichovaa?
Tuweni majini jamni! Leo nimeshuhudia baadhi ya watu wamejifunga vitambaa usoni, wengine wamevaa vitambaa vya kuogea, Sasa nauliza huu ni ujanja, au ujinga ?

Na wanafanya kwa kujua au kutojua?
Screenshot_20200318-183207.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana huo Ndio uwezo wao wa kiuchumi mkuu hali iliyosababisha washindwe kununua hivyo viziba pua kwa bei zake zilizozuka za kutisha
 
Aliyefunga hivyo na ambaye hajafunga chochote, nani wakumcheka mwenziye!
 
Labda huko kwenu(sijui ni wapi?).Ila huku kwetu bado kama kawa kizamani zamani kuhusu usafi.Tena sasa hivi watu wanachambia majani ya mahindi na ndulele!!Hawana habari kabisaaa(uelewa mdogo).

Mungu atusaidie kwa kweli!!!
Ingawa Corona ni janga lenye hofu but kitu nimekipenda imeweza kufundisha watu on self hygiene!
Nimekua nikiona watu wakitoka chooni bila kunawa,wakipenga bila kunawa!muhudumu wa chakula anavhart na simu hanawi anashika chakula!au kujikuna na kuchokonoa pua!!
In another way hili ni fundisho for self hygiene!!jamii imejifunza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani huu ugonjwa wa hatari namna hii lakini mtu bado anafanya masihara?

Sasa hiyo ni nini alichovaa?
Tuweni majini jamni! Leo nimeshuhudia baadhi ya watu wamejifunga vitambaa usoni, wengine wamevaa vitambaa vya kuogea, Sasa nauliza huu ni ujanja, au ujinga ?

Na wanafanya kwa kujua au kutojua? View attachment 1392025

Sent using Jamii Forums mobile app
Wape medical masks kama unazo au wape ushauri kutokana na uwezo wao.

Mie nawashauri washone masks za kitambaa na wawe wanaosha kwa maji ya moto kila siku baada ya kutumia. Wawe nazo kama tatu kwa siku

Washonaji nguo tengenezi masks za vitambaa
 
Watanzania sisi tayari ni Marehemu wa mda mrefu sasa sijui mleta mada unacho kishangaa ni kitu gani
 
Hivi jamani zile Risk Allowances kwa wahudumu wa afya zilipotelea wapi!!?
Manake hawa jamaa wanarisk maisha yao
Kweli kweli kwa sasa wako na COVID 19
Lakini sisikii lolote juu ya wataalamu wetu
Sehemu mbalimbali wanazotolea huduma
Hii ni hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa wilaya ya Nzega amewaagiza viongozi wa dini kuchukua tahadhari ya kutosha kuhusu corona na kipekee amemtaka shehe wa wilaya kuhakikisha maji ya kutawazia kabla ya swala misikitini yawe na dawa na sabuni.

Shehe wa wilaya amelipokea positively agizo hilo na kusema usafi ni miongoni mwa mafundisho waliyofundishwa na mtume.

Source Star tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom