DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Mchaga pekee mwenye moyo wa kutoa misaadaWakuu
Huyu mzee wetu angekua hai leo maskini tusingevaa magazeti kama mask angeshaita watu kibao na mask tungevaa za bure.
Huyu ndio tajiri ambae alikua mtanzania halisi mwenye msaada.
Waliobaki wengine ndio kwanza wamejikausha tunasubiri tamko lolote holaa wapo wapo tu sijui wanawaza nini?
Au hawaoni kama koroma ishafika na wanatakiwa kutulinda afya zetu sijui wakoje?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwanaume kupenda mteremko ni kosa kubwa sanaWakuu
Huyu mzee wetu angekua hai leo maskini tusingevaa magazeti kama mask angeshaita watu kibao na mask tungevaa za bure.
Huyu ndio tajiri ambae alikua mtanzania halisi mwenye msaada.
Waliobaki wengine ndio kwanza wamejikausha tunasubiri tamko lolote holaa wapo wapo tu sijui wanawaza nini?
Au hawaoni kama koroma ishafika na wanatakiwa kutulinda afya zetu sijui wakoje?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Miaka ya 90s mkoani Shinyanga Mengi alituwekea TV kubwa sana.Tulikuwa tukitoka vitongoji mbalimbali tukienda kuangalua kombe la dunia 1994 marekani. Tukio nalokumbuka katika kombe lile Nigeria vs Argentina.Angetugea masks bure kama ambavyo aliwahi kutugea nini?!
[emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa ukisikia coment za kijinga na kipumbavu ndio hio big hup mtu mjinga[emoji23][emoji23][emoji23]Mbona urith wa mali zake hakutugeia bure?!![emoji38]
[emoji103][emoji103][emoji103][emoji106][emoji106][emoji106] safi saanaKumtegemea mwanaume mwenzio akutimizie mahitaji yako ni moja ya ulemavu wa kufikiri na kushindwa kujiamuria future ya maisha yako mwenyewe.
Fanya kila uwezalo kujijengea future na msingi imara wa maisha yako pasipo kumtegemea mtu mwingine ili kuepuka fedhea ya kuwa ombaomba wa baadae au mtegemea misaada ya wanaume kwani mtegemea cha nduguye, hufa maskini.
HaahaaaWanatafuta kiki au mjue wametoka nje ya nchi bado kuna washamba nchi hii wengi sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo nilijikuta naifuta simu kwa sabuni ya maji.Hii kitu ni mtihaniMtu anafika getini anaweka simu mfukoni ama ktk mkoba, ananawa mikono, kisha akiingia anapakata hand set za simu tena, nini kifanyike juu ya usafi simu zetu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unazungumzia miaka ya 90 (specifically 1994) ambapo Mengi aligombana na Dewji kisa ana-force awe anaonesha World Cup peke yake wakati hata ITV yenyewe ilikuwa haijatengemaa na DTV tayari ilishakuwa hewani kitambo! Akaenda kuwalaza ndani wenzake kwa madai ya uongo!!! Anyway, sitasema mengi dhidi ya Marehemu kwa sababu uungwana wa Kiafrika unakataza!Miaka ya 90s mkoani Shinyanga Mengi alituwekea TV kubwa sana.Tulikuwa tukitoka vitongoji mbalimbali tukienda kuangalua kombe la dunia 1994 marekani. Tukio nalokumbuka katika kombe lile Nigeria vs Argentina.
Nigeria walianza kufunga baba lao Maradona alipata free kick akasawazisha.Ndani ya nyumba alikuwepo Emanueli Amunike,Rashidi yakini.
Mengi mungu akurehemu .
Umenikumbusha mbaliUnazungumzia miaka ya 90 (specifically 1994) ambapo Mengi aligombana na Dewji kisa ana-force awe anaonesha World Cup peke yake wakati hata ITV yenyewe ilikuwa haijatengemaa na DTV tayari ilishakuwa hewani kitambo! Kupata sauti ITV ilikuwa ni hadi uweke kifaa fulani hivi! Kwa bahati mbaya au mzuri, Dewji akakaza na kumwambia yeye (Mengi) hana hati miliki ya kuonesha mpira peke yake na kwahiyo aache ubinafsi; na kweli watu tukacheki world cup kupitia DTV!
Katika kutafuta huruma, Mengi akaanza kulia lia nchi mzima kwamba Dewji anataka kumuua hadi polisi Oysterbay wakalazimika kumwekea ulinzi pale nyumbani kwake wakati hapakuwa na aliyemtishia kumuua wala nini lakini ilikuwa ni mbinu yake tu ya kutafuta huruma ya wananchi! Na katika kuendelea kutafuta public sympathy na support zaidi, akajichomkeka Yanga; and of course, akapigiwa shangwe kila mahali!!! So, sitashangaa kusikia huko Shinyanga aliwakea watu TV!!!
Duh! Umeniwahi! Mi nataka ku-delete bhana manake naiona sio vizuri kuongelea -Ve za marehemu hata kama ni za kweli!!