#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Wakuu
Huyu mzee wetu angekua hai leo maskini tusingevaa magazeti kama mask angeshaita watu kibao na mask tungevaa za bure.
Huyu ndio tajiri ambae alikua mtanzania halisi mwenye msaada.
Waliobaki wengine ndio kwanza wamejikausha tunasubiri tamko lolote holaa wapo wapo tu sijui wanawaza nini?
Au hawaoni kama koroma ishafika na wanatakiwa kutulinda afya zetu sijui wakoje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mchaga pekee mwenye moyo wa kutoa misaada
According to Makonda
 
Wakuu
Huyu mzee wetu angekua hai leo maskini tusingevaa magazeti kama mask angeshaita watu kibao na mask tungevaa za bure.
Huyu ndio tajiri ambae alikua mtanzania halisi mwenye msaada.
Waliobaki wengine ndio kwanza wamejikausha tunasubiri tamko lolote holaa wapo wapo tu sijui wanawaza nini?
Au hawaoni kama koroma ishafika na wanatakiwa kutulinda afya zetu sijui wakoje?

Sent from my iPhone using JamiiForums
Mwanaume kupenda mteremko ni kosa kubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angetugea masks bure kama ambavyo aliwahi kutugea nini?!
Miaka ya 90s mkoani Shinyanga Mengi alituwekea TV kubwa sana.Tulikuwa tukitoka vitongoji mbalimbali tukienda kuangalua kombe la dunia 1994 marekani. Tukio nalokumbuka katika kombe lile Nigeria vs Argentina.

Nigeria walianza kufunga baba lao Maradona alipata free kick akasawazisha.Ndani ya nyumba alikuwepo Emanueli Amunike,Rashidi yakini.
Mengi mungu akurehemu .
 
unaweza kutengeneza mask ya gharama nafuu kwa kutumia tishu paper na rubber band.
ukizingatia inatakiwa ubadilishe kila baada ya masaa manne.

jambo la msingi kuzingatia na masuala mengine, kama kunawa mikono kwa maji yenye dettol

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumtegemea mwanaume mwenzio akutimizie mahitaji yako ni moja ya ulemavu wa kufikiri na kushindwa kujiamuria future ya maisha yako mwenyewe.

Fanya kila uwezalo kujijengea future na msingi imara wa maisha yako pasipo kumtegemea mtu mwingine ili kuepuka fedhea ya kuwa ombaomba wa baadae au mtegemea misaada ya wanaume kwani mtegemea cha nduguye, hufa maskini.
[emoji103][emoji103][emoji103][emoji106][emoji106][emoji106] safi saana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Miaka ya 90s mkoani Shinyanga Mengi alituwekea TV kubwa sana.Tulikuwa tukitoka vitongoji mbalimbali tukienda kuangalua kombe la dunia 1994 marekani. Tukio nalokumbuka katika kombe lile Nigeria vs Argentina.

Nigeria walianza kufunga baba lao Maradona alipata free kick akasawazisha.Ndani ya nyumba alikuwepo Emanueli Amunike,Rashidi yakini.
Mengi mungu akurehemu .
Unazungumzia miaka ya 90 (specifically 1994) ambapo Mengi aligombana na Dewji kisa ana-force awe anaonesha World Cup peke yake wakati hata ITV yenyewe ilikuwa haijatengemaa na DTV tayari ilishakuwa hewani kitambo! Akaenda kuwalaza ndani wenzake kwa madai ya uongo!!! Anyway, sitasema mengi dhidi ya Marehemu kwa sababu uungwana wa Kiafrika unakataza!
 
Unazungumzia miaka ya 90 (specifically 1994) ambapo Mengi aligombana na Dewji kisa ana-force awe anaonesha World Cup peke yake wakati hata ITV yenyewe ilikuwa haijatengemaa na DTV tayari ilishakuwa hewani kitambo! Kupata sauti ITV ilikuwa ni hadi uweke kifaa fulani hivi! Kwa bahati mbaya au mzuri, Dewji akakaza na kumwambia yeye (Mengi) hana hati miliki ya kuonesha mpira peke yake na kwahiyo aache ubinafsi; na kweli watu tukacheki world cup kupitia DTV!

Katika kutafuta huruma, Mengi akaanza kulia lia nchi mzima kwamba Dewji anataka kumuua hadi polisi Oysterbay wakalazimika kumwekea ulinzi pale nyumbani kwake wakati hapakuwa na aliyemtishia kumuua wala nini lakini ilikuwa ni mbinu yake tu ya kutafuta huruma ya wananchi! Na katika kuendelea kutafuta public sympathy na support zaidi, akajichomkeka Yanga; and of course, akapigiwa shangwe kila mahali!!! So, sitashangaa kusikia huko Shinyanga aliwakea watu TV!!!
Umenikumbusha mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom