#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Huyo mkuu wa wilaya alikua anatania. Yaani mkuu wa wilaya ndiye aliyeunda taskforce ya kupambana na CORONA? mbona hiyo taarifa wizara ya afya hawana?.

Mwambie huyo mpuuzi aache upuzi.
 
Mkuu wa wilaya ya Longido amesema wamepeleka watendaji wote na vifaa vya kisasa vya kuhakiki na kudhibiti Corona.

Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na kipimo kinachoweza kumtambua muathirika katika umbali wa mita 10 na Vipima joto.

Source ITV Habari!
Mihemuko Katika ugonjwa hatari.
 
Habari JF!

Kwanza kabla sijaanza kutype na mdau kabla haujaanza kusoma na kucomment naomba tuchukue dakika mbili kuliombea Taifa ,Mungu alikinge na mdudu hatari wa COVID 19.

Mdau Uzi ni wetu wote hapa tutakuwa tunaelimishana kuhusu Corona,Updates,kushauriana n.k
Asanteni sana.
 
Mask 😷 za nini? Wataalamu wanasema Mask tuwaachie wanaowahudumia wagonjwa wa Corona sisi tukazane kunawa mikono.

Kuvaa mask ukishajijua unaumwa ili usiwaambikize wengine sana sana ukiwa unakohoa au una piga chafyaa.

Tujitahidi kunawa mikono aisee.
 
Wakuu Naombeni Kufahamishwa Kidogo hapo eti kwanini Huu ugonjwa Umeitwa Corona kwani Corona ni nini (nahitaji kujua kijina achana na Inavojulikana sasa).

Uki define Corona kwa maana ya Hichi kilichopo sasa itakuwa una maana Ya kwamba Hiki kirusi Kinajulikana tangu Awali sio cha Leo.

Na ikiwa Mpaka sasa Hakijulikani Hiki kirusi kinasababishwa na Nini je nani aliyekiita Corona?? Na kwanini Alikiita hivo na sio Jina jingine?.

Swali Kubwa katika Huu uzi ni Kwamba " KWANINI WAITE NI CORONA IKIWA HAWAJUI KIRUSI KINASABABISHWA NA NINI? KWANI CORONA ni Nini? ".

...Karibuni kwa mawazo Yenu wana Great Thinkers..





Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coronavirus gets its name from the word ‘corona’ which means crown in Latin.

Tupeane updates kujilinda na huu ugonjwa.
 
Muonekano upoje?
874E7125-69BC-4842-9F3E-C22D0F7B24FB.jpeg
 
Ni naming tu ili kurahisisha mambo, haina maana yoyote ingeitwa kole, lei, leya just kurahisha lugha.
 
Hizi Sh ngapi.?

Kuzipata tatizo. Unajua utaenda pharmacy watakuuzia zile za kuzuia vumbi au zile za wanaopulizia rangi au dawa nyanya mashambani.

Me nashauri sisi wenye internet tufanye homework tuwasaidie wale wasiojua kitu. Maana hali ni mbaya.

Me sio mtaalamu ni Google tu naenda nae mdogo mdogo. Ila wazee tusaidiane kusambaza taarifa.

Tuoshe Mikono mara kwa mara.
 
Watu wanataka kukimbilia mi mask tu kabla ya kujikinga utafikiri mask ndo dawa wakati chumba mnalala sita

Sent using Jamii Forums mobile app
Mm nipo na shemeji yko hapa ghetto ww si nasikia eti sirikali eti walikupeleka kule Wuhan kubobea maswala ya COVID 19 na ikitokaea 20 ww ni mbobevu ushapta mafunzo.

Swali langu je naweza piga mashine,kama nitakuwa nipo full protective na mask na gloves?Nikimaanisha je kuna uwezekano vijidudu kuishi kwny uke au sperms?.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom