TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Na hiyo sensitizer sijuhi sensitizer je?.Inaongeza immunity
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hiyo sensitizer sijuhi sensitizer je?.Inaongeza immunity
Corona ni kirusi kipya. Kuna mambo mengi wataalamu hawaelewi kuhusu ugonjwa huu na jinsi unavo sambazwa,bado tafiti zinaendelea. Lakini kwa kua Hiki kirusi kinasababisha homa ya mapafu ( upper respiratory infections) sio rahisi kiweze kupita kwenye uke. Entry point ya corona ni macho, pua na mdomo.Mm nipo na shemeji yko hapa ghetto ww si nasikia eti sirikali eti walikupeleka kule Wuhan kubobea maswala ya COVID 19 na ikitokaea 20 ww ni mbobevu ushapta mafunzo.
Swali langu je naweza piga mashine,kama nitakuwa nipo full protective na mask na gloves?Nikimaanisha je kuna uwezekano vijidudu kuishi kwny uke au sperms?
Hand sanitizer, Ni ya kusafishia mikono.Na hiyo sensitizer sijuhi sensitizer je?
Ndo mana nimesema ni kirusi kipya. Nothing is definitive bado tuna hypothesis nyingi. Ni vizuri kuwasikiliza wataalamumNimesikia kuna doctor kwny radio kasema inaweza pita hiyo kirusi kwa njia ya makalio kule kwa kinyesi ,ss hizi mambo ni mtambuka unaweza ogopa hata kunya ati.😱😱😱
Duh! Kumtambua muathirika umbali wa mita 10.........🙄🙄🙄.Mkuu wa Wilaya ya Longido amesema wamepeleka watendaji wote na vifaa vya kisasa vya kuhakiki na kudhibiti Corona.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na kipimo kinachoweza kumtambua muathirika katika umbali wa mita 10 na Vipima joto.
Source ITV Habari!
Ok Poa nimekupataCoronavirus gets its name from the word ‘corona’ which means crown in Latin.
Tupeane updates kujilinda na huu ugonjwa.
Dalili zinaonekana kati ya siku 2 Hadi 14. Watapita wakiwa Carrier, watabukiza waTz. Kama kuna utashi usio na gharama ni kufunga mipaka angalau siku 14 halafu unafungua... hivyo hivyo mpaka upotee. Mipaka ikibaki wazi hakuna namna tutegemee Bwana wa Majeshi.
DC yuko serious kweli?! Hivyo vipimo vya kutambua mita 10 vimeingia lini wakati KIA wameshindwa kutambua hadi Dar?!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app