#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Imani yangu

1. Corona haina dawa hivyo hata nikihofu ni kazi bure.

2. Naamini ni mafua yaliopanda hadhi kidogo na watu weupe ndo wanateseka zaidi.

3. Kama huna magonjwa mengine yaliodhoofisha kinga ya mwili unapona tu bila shaka.

4. Najiona kama mtu ambaye nishaugua Corona nikapona hivyo sina hofu hata chembe.

Nashangaa kuona watu wanajifunika vitamba na kugombea sabuni, kwangu nitakuwa wa mwisho kufanya hivyo.

5. Corona itapita kama rift valley na kimeta, mpaka sasa ishapoteza muelekeo Afrika.

Ukiona unaumwa na malaria na UTI huna basi wewe endelea na kazi, kula vizuri, kunywa maji ya kutosha punzisha mwili wako.

Relax, kifo kipo tu. Utajipa mawazo ya Corona mwisho wa siku ugongwe na bodaboda.
 
Baada ya kupita na black people ndiyo utajua kumbe haya mafua sio ya kispoti spoti. Ila sasa bado naona wazeeya wanapata na wana recover.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani hapa ofisini boss kaleta masanitizer wa kila mtu watu wamepaniki wengine wanataka kununua magunia ya mchele wajaze ndani eti yataisha mtaani....mi hata chembe ya hofu sina.

Wazungu wanadeka wameupa promo tu haya mafua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me pia siogopi wala... Ila kimoyo moyo naomba tu Mungu atunusuru nikikumbuka wahenga walinena 'Lisemwalo lipo, kama halipo laja'.😃
 
Me pia siogopi,na hivi namafua ya kufa mtu siku ya tatu leo.najipa moyo nikifikisha 5Days na 7 days ntakuwa nimeishinda corona🤣🤣🤣🤣

Ntajitangaza mtanzania wa kwanza kuishinda corona.

Na mkiona kimya kwa jukwaa .

Muendelee tu kutype r.I.p
 
Habari zenu wadau, mimi nataka kuuliza, hivi ugonjwa wa corona asili yake ni nini? Dalili zake na unasambaa kwa njia gani na vipi tunaweza kujiepusha nao. Na ukiupata je ufanye nini? Natanguliza shukrani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom