Mihemuko Katika ugonjwa hatari.Mkuu wa wilaya ya Longido amesema wamepeleka watendaji wote na vifaa vya kisasa vya kuhakiki na kudhibiti Corona.
Miongoni mwa vifaa hivyo ni pamoja na kipimo kinachoweza kumtambua muathirika katika umbali wa mita 10 na Vipima joto.
Source ITV Habari!
Zenyewe zipoje,ebu tusaidie
N95 masks and Surgical mask would help with coronavirus.Zenyewe zipoje,ebu tusaidie
Muonekano upoje?
Mask juzi sh 500 leo sh 1700Mwenye kujua bei za mask na vifaa vya kujikinga amwage sumu hapa tuelewe vinapatikana kwa bei gani.?
Hizi Sh ngapi.?
Kumbe unaweza toboa ukawa unakulia zako fegi au ni utani tu huu,ss hapo vidudu si vinaweza penya ukivuta hewa kwa mdomo au?
Mm nipo na shemeji yko hapa ghetto ww si nasikia eti sirikali eti walikupeleka kule Wuhan kubobea maswala ya COVID 19 na ikitokaea 20 ww ni mbobevu ushapta mafunzo.Watu wanataka kukimbilia mi mask tu kabla ya kujikinga utafikiri mask ndo dawa wakati chumba mnalala sita
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaongeza immunityVitamin C za nn,mm niko nyuma sana?