covering risks
Senior Member
- Mar 13, 2015
- 125
- 124
Sisi tutaendelea kunusa tu chochote kile,tusilazimishwe jaribu lao liwe letu,ndiyo maana hata wao hua hawapati kipindu pinduKupoteza uwezo wa kunusa au kutokuhisi ladha ya chakula yaongezwa katika moja ya dalili ya corona virus (covid19)
Chanzo:cnn
Watafiti nchini uingereza(UK) wataja moja ya dalili ya ugonjwa huu ni kukosa ama kupoteza uwezo wa kunusa na kukosa ladha ya chakula
Pia unaweza ukagoogle "how to cure loss of sense of smell" itakusaidia sana"
Mbona wanasema ukishapata hizo dalili maana yake Covid19 ilishakuchapa hapo ndio inaachia.Kupoteza uwezo wa kunusa au kutokuhisi ladha ya chakula yaongezwa katika moja ya dalili ya corona virus (covid19)
Chanzo:cnn
Watafiti nchini uingereza(UK) wataja moja ya dalili ya ugonjwa huu ni kukosa ama kupoteza uwezo wa kunusa na kukosa ladha ya chakula
Pia unaweza ukagoogle "how to cure loss of sense of smell" itakusaidia sana"
Mimi hizo dalili nimepata ndani ya week,na sijaumwa chochote kabisa.Mbona wanasema ukishapata hizo dalili maana yake Covid19 ilishakuchapa hapo ndio inaachia.
Basi ulichapwa na korona ila kinga ikapigana na FUTA na kulishinda.Mimi hizo dalili nimepata ndani ya week,na sijaumwa chochote kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinga ikayeyusha FUTA au sio πππBasi ulichapwa na korona ila kinga ikapigana na FUTA na kulishinda.
Eheeee kinga yake ipo juu.Kinga ikayeyusha FUTA au sio πππ
Acha mzahaKesho huyo ndugu yako akimeza matonge makubwa makubwa pia ufungue uzi!