Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio bwashee na kwa mantiki hiyo sijibu swali.
Kunywa maji ya kutosha. Tumia na dawa ya mafua. Mafia huwa yanafanya kichwa kuuma na uchovu pia.Wakuu sima amani na furaha kabisa juu ya kirusi hichi cha Corona. Iko hivi, ni siku tatu sasa zimepita baada ya kujihisi nina homa. Basi bila kupoteza mda nikawahi hospitali kwa ajili ya vipimo. Baada ya vipimo ikagundulika kuwa nina malaria hivyo nikaandikiwa dozi na nikaanza kutumia. Jana ndio nimemaliza dozi lakini mwili bado una maumivu, kichwa kina maumivu, uchovu, mafua nayo yapo japo si makali sana. Kikohozi sina wala mbavu hazibani.
Hapo chini wapi? Mkuu wewe umesomea Corona?Coronavirus ameundwa kwa protein na sio mafuta kama tulivyo aminishwa siku nyuma. Hivi basi njia za kupamba na protein coat of virus ni tofauti na njia za kuondoa mafuta au lipid bilayer virus.endelee kusoma hapo chini upate maarifa juu kupambana corona
Then...Kuna njia tatu kuu za kuiharibu protein ( PROTEIN DENATURALIZATION) Mechanical :whisking of egg, HEATING AND ACID Yaani kugogangagonga muundo, kuchemsha joto na dawa acid tindikali kama sabuni za acid dentergent au omo
Hivi huwa tunasema denaturalization au denaturing?Kuna njia tatu kuu za kuiharibu protein ( PROTEIN DENATURALIZATION) Mechanical :whisking of egg, HEATING AND ACID Yaani kugogangagonga muundo, kuchemsha joto na dawa acid tindikali kama sabuni za acid dentergent au omo
kwa hiyo hii mbinu ya kujifukiza kwa mvuke wenye dawa za asili joto la 100c° itasaidia mkuu ?Kuna njia tatu kuu za kuiharibu protein ( PROTEIN DENATURALIZATION) Mechanical :whisking of egg, HEATING AND ACID Yaani kugogangagonga muundo, kuchemsha joto na dawa acid tindikali kama sabuni za acid dentergent au omo
Mbona Raisi Magufuli anasema ni futa?Tumwamini nani?