#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Bora wewe mimi hata aina za ndoto miondoko imebadilika! Zamani nilikuwa naota mimi ndo star wa ndoto napiga ile mbaya!.. sahivi hata huko ndotoni nikiwatafuta wale majambazi wa ndotoni nipigane nao siwaoni ati wapo karantini!!
 
Wakuu sima amani na furaha kabisa juu ya kirusi hichi cha Corona. Iko hivi, ni siku tatu sasa zimepita baada ya kujihisi nina homa. Basi bila kupoteza mda nikawahi hospitali kwa ajili ya vipimo.

Baada ya vipimo ikagundulika kuwa nina malaria hivyo nikaandikiwa dozi na nikaanza kutumia. Jana ndio nimemaliza dozi lakini mwili bado una maumivu, kichwa kina maumivu, uchovu, mafua nayo yapo japo si makali sana. Kikohozi sina wala mbavu hazibani.
 
Wakuu sima amani na furaha kabisa juu ya kirusi hichi cha Corona. Iko hivi, ni siku tatu sasa zimepita baada ya kujihisi nina homa. Basi bila kupoteza mda nikawahi hospitali kwa ajili ya vipimo. Baada ya vipimo ikagundulika kuwa nina malaria hivyo nikaandikiwa dozi na nikaanza kutumia. Jana ndio nimemaliza dozi lakini mwili bado una maumivu, kichwa kina maumivu, uchovu, mafua nayo yapo japo si makali sana. Kikohozi sina wala mbavu hazibani.
Kunywa maji ya kutosha. Tumia na dawa ya mafua. Mafia huwa yanafanya kichwa kuuma na uchovu pia.
 
Dunia inaenda kasi zamani ukirudi nyumbani ndugu na jamaa wanashangilia.

Ule usemi wa "Mgeni njoo mwenyeji apone" haupo tena.
Ukifika kijijini wanaanza kusema umeleta Corona.

Nashukuru nimefika kwa mzee ameweka ndoo ya maji tiririka na sanitizer.

Nimenawa kwa maji tiririka na kujumuika na familia huku nafuata social distance.

Bora Corona iondoke maisha yarudi Kama zamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Coronavirus ameundwa kwa protein na sio mafuta kama tulivyo aminishwa siku nyuma. Hivi basi njia za kupamba na protein coat of virus ni tofauti na njia za kuondoa mafuta au lipid bilayer virus.endelee kusoma hapo chini upate maarifa juu kupambana corona
 
Hapo chini wapi? Mkuu wewe umesomea Corona?
 
Kuna njia tatu kuu za kuiharibu protein ( PROTEIN DENATURALIZATION) Mechanical :whisking of egg, HEATING AND ACID Yaani kugogangagonga muundo, kuchemsha joto na dawa acid tindikali kama sabuni za acid dentergent au omo
 
Hivi huwa tunasema denaturalization au denaturing?
 
Kuna njia tatu kuu za kuiharibu protein ( PROTEIN DENATURALIZATION) Mechanical :whisking of egg, HEATING AND ACID Yaani kugogangagonga muundo, kuchemsha joto na dawa acid tindikali kama sabuni za acid dentergent au omo
kwa hiyo hii mbinu ya kujifukiza kwa mvuke wenye dawa za asili joto la 100c° itasaidia mkuu ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom