#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

#COVID19 Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

Status
Not open for further replies.
Wakuu habari za leo.
Hapa nina dalili zote za mwanzo za covid19 wazee. Siku kadhaa zijazo huenda nisiweze hata kuandika hapa. Wenye ujuzi na waliokwisha pata hii mambo nipeni technique namna ya kupambania nafsi yangu. Nahisi nikienda hospital ndo kabisa ninaweza nisirudi mzima.
Natanguliza shukrani.
Pia TAFUTA ile dawa ya NIMR@10,000
 
Kama unataka kutest mwili wako ni imara kiasi gani nashauri kunywa maji mengi, paracetamol, chakula cha kutosha na kupumzika.
 
Huduma ya kwanza piga nyungu !

Baada ya hapo hosipitali. pia usisahau chai ya tangawizi kali na limao.

Pole sana.
Usidharau,piga Nyungu,imesaidia wengi,then fuata huo ushauri hapo juu bila ya kudharau,utapona...
 
Pia sio mbaya kuandaa wosia kabisa, just in case. Template ninayo hapa kama utahitaji mkuu.
 
Kwa sasa kuna kampeni nyingi za kuhamasisha tusivae barakoa, na ukivaa unaonekana mshamba au hujielewi kwa baadhi ya wanajamii.

Wakuu, Pambaneni kila muwezavyo mjilinde na kulinda muwapendao. Hili goma bado lipo na yawezekana linaua kimyakimya.

Bora uonekane mshamba na usiyejielewe lakini ukiwa unachukuwa tahadhari zote za kitabibu na kisayansi kwa ajili ya kujikinga na ugonjwa huu.

Nawatakieni asubuhi njema
 
kuvaa barakoa ni sawa na kuunganisha bomba la kutolea moshi kwenye gari na air cleaner, hatukuumbwa kuvuta hewa ile ile tunayoipumua!
 
Serikali sasa kuanza kuwascreen watanzania na wageni wote wanaoingia Nchini kutokea nje. Mbali na hilo, kila mtu lazima aje na cheti kinachoonyesha hana CORONA na vipimo lazima viwe vimechukuliwa ndani ya masaa 72.

Safi sana. Sisi sio kisiwa na sasa tumekubali there is no such thing as "Covid free"
 

Attachments

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom